kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Unaposema akkajifie huko, unatafsiri kwa kuangalia nini? Sabaya hana kosa ni kelele za chadema zilizofanywa ili ku pressurize uongozi wa juu unaotafuta kupendwa kwa namna yoyote.Tatizo mnatafsiri Mambo kwa kuangalia CHADEMA. Yeye alipikuwa anampakazia Mbowe kuwa alitaka kumuua alikuwa ana maana gani?. Akajifie huko.
Hizi katika lugha yetu ya Kiswahili zinaitwa "DUA ZA KUKU"!Inatakiwa afungwe haraka sn
Kesi zipi Mkuu ukitoa ya Nandi, itakuwa jambo jema haki itendeke na jamii ijifunze.Na bado kuna kesi mbili za ubakaji ziko mbioni
Washampokea?Akimaliza bado Boma wanamsubiri
Redemption songOld pirates, yes, they rob I
Sold I to the merchant ships
Minutes after they took I
From the bottomless pit
But my hand was made strong
By the hand of the Almighty
We forward in this generation
Triumphantly.
“Bob”
Bado 4Na bado kuna kesi mbili za ubakaji ziko mbioni
Amejifunza snHeshimu watu sponsor hufa
Heri kupoteza hirizi kuliko kufiwa na mganga
Ohoooo !!!Bado 4
Muda utasemaKesi zipi Mkuu ukitoa ya Nandi, itakuwa jambo jema haki itendeke na jamii ijifunze.
Huyu mjinga atafia jela tuBado 4
Na afe kweli hafai kabisaHuyu mjinga atafia jela tu
Ni mpuuzi snOhoooo !!!
TayariWashampokea?
Hilo ndiyo jibu sahihi
Labda wewe ndiyo hakimu na usiye na macho wala masikio, nadhani hufahamu nguvu ya vilio alivyovisababisha huyu swahiba wakozote atashinda na kulipwa marupurupu lukukiiii