kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Unaposema akkajifie huko, unatafsiri kwa kuangalia nini? Sabaya hana kosa ni kelele za chadema zilizofanywa ili ku pressurize uongozi wa juu unaotafuta kupendwa kwa namna yoyote.Tatizo mnatafsiri Mambo kwa kuangalia CHADEMA. Yeye alipikuwa anampakazia Mbowe kuwa alitaka kumuua alikuwa ana maana gani?. Akajifie huko.