Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
YametimiaKijana mdogo Ole Sabaya anahangaikia tumbo kwa gharama kubwa sana.Huo uhalifu anaoufanya malipo ni mapema sana kabla uzee haujamkuta.
Atajuta!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YametimiaKijana mdogo Ole Sabaya anahangaikia tumbo kwa gharama kubwa sana.Huo uhalifu anaoufanya malipo ni mapema sana kabla uzee haujamkuta.
Atajuta!!
Mkuu hebu tuwekee sasa tujikumbushe kabla ya hivyo vizazi vijavyoMimi nimeisevu kwa kumbukumbu ya Vizazi vijavyo ni hotuba muhimu sana
Baada ya Mkutano Mkubwa ukiofanyika BOMANG'OMBE Jimboni Hai Wananchi wameamua kuusindikiza msafara wa Rais Magufuli kwa kukimbia Mbio ili kuonesha mapenzi yao kwake na ccm . Video inamuonesha Dc Ole Sabaya akiongoza Wananchi hao
Pamoja na Upinzani kupeleka viongozi wote Jimboni Hai lakini wamegonga Mwamba maana Wananchi wamejitokeza kwa wingi leo WAKIWA wamebeba majani aina ya masare kuonesha kuomba Radhi kwa kumchagua Mbowe ambae amekuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya Hai.
Tatizo huwa wanapewa kama fadhila kwa kazi za kiharamia ambazo huwa wametumwa kuzitekelezaMamlaka za uteuzi ziache kabisa kuwapa uteuzi
-waovu,
-watovu wa nidhamu,
-wasio na maadili nk
Na hapo sijui alikuwa na pistol?Baada ya Mkutano Mkubwa ukiofanyika BOMANG'OMBE Jimboni Hai Wananchi wameamua kuusindikiza msafara wa Rais Magufuli kwa kukimbia Mbio ili kuonesha mapenzi yao kwake na ccm . Video inamuonesha Dc Ole Sabaya akiongoza Wananchi hao
Pamoja na Upinzani kupeleka viongozi wote Jimboni Hai lakini wamegonga Mwamba maana Wananchi wamejitokeza kwa wingi leo WAKIWA wamebeba majani aina ya masare kuonesha kuomba Radhi kwa kumchagua Mbowe ambae amekuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya Hai.
Co-accussed (Holding PAPERS/DOCUMENTS). Seems he was soo Loyal to OS.Baada ya Mkutano Mkubwa ukiofanyika BOMANG'OMBE Jimboni Hai Wananchi wameamua kuusindikiza msafara wa Rais Magufuli kwa kukimbia Mbio ili kuonesha mapenzi yao kwake na ccm . Video inamuonesha Dc Ole Sabaya akiongoza Wananchi hao
Pamoja na Upinzani kupeleka viongozi wote Jimboni Hai lakini wamegonga Mwamba maana Wananchi wamejitokeza kwa wingi leo WAKIWA wamebeba majani aina ya masare kuonesha kuomba Radhi kwa kumchagua Mbowe ambae amekuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya Hai.
Tatizo huwa wanapewa kama fadhila kwa kazi za kiharamia ambazo huwa wametumwa kuzitekeleza
Shekhe Ponda aliona mbali , M/Mungu akubariki sana Shekhe wangu.Shekhe Ponda amelaani vikali Vikundi vya kihalifu vinavyolipwa na Ole Sabaya kwa fedha za Vitambulisho vya Wamachinga