Uchaguzi 2020 Ole Sabaya awaongoza Wananchi wa Hai kumsindikiza Magufuli kwa Mbio


Hawa ndio uvccm wanaoamini katika kutesa, kutweza, kubambikia nakila aina ya uovu ili wapate uteuzi.

Hili jambo la kufanya uteuzi kwa hawa Vijana baada ya kuonekana kwa kutenda uovu ndio umetufikisha hapa tulipo

Mamlaka za uteuzi ziache kabisa kuwapa uteuzi
-waovu,
-watovu wa nidhamu,
-wasio na maadili nk
 
Mamlaka za uteuzi ziache kabisa kuwapa uteuzi
-waovu,
-watovu wa nidhamu,
-wasio na maadili nk
Tatizo huwa wanapewa kama fadhila kwa kazi za kiharamia ambazo huwa wametumwa kuzitekeleza
 
Niaka salasini,,, akitoka amekuwa Shoga mbobezi.
 
Na hapo sijui alikuwa na pistol?
 
Co-accussed (Holding PAPERS/DOCUMENTS). Seems he was soo Loyal to OS.
 
Tatizo huwa wanapewa kama fadhila kwa kazi za kiharamia ambazo huwa wametumwa kuzitekeleza

Nahapa ndipo ccm imeharibu kabisa misingi ya utawala bora.

Kutoa madaraka na vyeo kama fadhila kwa wahalifu waliostahili kuwa jela

Matokeo yake, kila uvccm anataka kupitia njia hizohizo ovu na za kishetani
 
Shekhe Ponda amelaani vikali Vikundi vya kihalifu vinavyolipwa na Ole Sabaya kwa fedha za Vitambulisho vya Wamachinga
Shekhe Ponda aliona mbali , M/Mungu akubariki sana Shekhe wangu.
na muda ni mwalimu mzuri sana.
Leo hii Sabaya anasema yote aliyoyafanya kwa maagizo ya Magufuli halafu Samia anamfunga..

CCM = Chama Cha MAGAIDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…