Ole Sabaya: Doa jeusi kwa utawala wa Hayati Magufuli

Aliyekwenda angekuwepo leo hii Sabaya angekuwa mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro/DSM/Dodoma/Arusha, na kila siku angekuwa anamwagiwa masifa kuwa ni mchapakazi na mzalendo!! Hawa watu wanaopenda kujiita wazalendo wa kuogopa sana
Ile zama ilikuwa hatari sana
 
Haya ni maandaliao ya hukumu ya mtu flan mashabik wanashangilia
 
Tena kwenye kujitetea kasema kabisa hiyo kazi ya ujambazi alitumwa na mamlaka yake ya uteuzi. Mkuu wa wilaya anateuliwa na Rais... Magu alimteua Sabaya...
 
Hata mtoto Mdogo ana kushangaa
 

Ukisoma maandishi yako unaona kabisa kuna element za frustrations zako kwenye mambo mengine, na issue ya Sabaya imekuwa ndio breathing vent 😂 😂 😂 😂 😂 😂

Kweli kazi na iendeleee
 
Mwambie arejee kesi ya Zombe...

Mwenye makosa ni aliyetenda, sio aliyetuma. Aliyetuma atakutwa na hatia endapo itathibitika ni kweli alituma
 
Subiri kwanza hukumu yake kama hii ya Sabaya. Kama kweli ana hatia na ikathibitika naye aipate adhabu yake
Hoja ni doa utawala uliopita.
Chukulia mtu anakupa vitu vizuri lakini anakuchoma na miba, anakuunguza na moto halafu anakupooza na juisi na pipi nk. Huo ndo utawala wa mwenda ulichanganya sukari na shubiri.


Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Unatetea udhalimu wa jiwe
 
Mkuu kuliko alimlinda kwa makusudi. Kwani hakujua

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada kaongelea hukumu ambayo ishatolewa ,wewe unaleta porojo zako za Mbowe ambazo bado mahakama haijamtia mtu hatiani.Hivi wewe kweli akili zinafanya kazi vizuri au ndoo bilula wa JF?
 
Ukisoma maandishi yako unaona kabisa kuna element za frustrations zako kwenye mambo mengine, na issue ya Sabaya imekuwa ndio breathing vent 😂 😂 😂 😂 😂 😂

Kweli kazi na iendeleee
Tunapochagua viongozi wa nchi hatuchagui majambazi!
We unafikiri Mwalimu angekuwapo angesemaje?
 
Kwani hayo makosa alipoyafanya, si alikuwa ni DC?ni kelele ngapi zilikuwa zikipigwa juu yake tena kwa ushahidi hadi wa cctv camera, je mamlaka ya uteuzi ilifanya nini juu ya tuhuma zile?zaidi ya kuwabeza watoa tuhuma?kwenye utawala bora angetakiwa awekwe pembeni apishe uchunguzi wa tuhuma dhidi yake!!kwani hao uliowataja hapo hawakuwa wakiyaona?lakini walijua kabisa kuna baraka za jiwe!
 
Mkuu bado doa jeusi limetanda kwa utawala wa Magufuli.
Aliruhusu vipi wananchi waporwe kwa mtutu wa DC?
Vyombo vya kulinda haki za raia mbona vikawa paralysed?
Na bado Jiwe lingekuwepo , hakuna ambaye angethubutu kupereka kesi dhidi DC au RC yeyote muonevu . Walikuepo wengi eti sasa wamenywea kama wema vile !!. Mwz kulikuwa na moja mbaya kuliko Sabaya, ila hulka ya watu wa huko ya upole na kutokuhoji imemuokoa. Eti sasa ni mtu mwema !!
 
Wapuuzi mko wengi sana Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…