Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #61
Mkuu mtaje tu huyo Sabaya clone.Na bado Jiwe lingekuwepo , hakuna ambaye angethubutu kupereka kesi dhidi DC au RC yeyote muonevu . Walikuepo wengi eti sasa wamenywea kama wema vile !!. Mwz kulikuwa na moja mbaya kuliko Sabaya, ila hulka ya watu wa huko ya upole na kutokuhoji imemuokoa. Eti sasa ni mtu mwema !!
Linalohitajika ni mtu kulalamika rasmi tu.