Ole Sabaya: Doa jeusi kwa utawala wa Hayati Magufuli

Tukanyage kwa adabu ardhi ya Muumba. Mwaka Jana Kama leo Jiwe lilikuwa Jiwe kweli kweli na Sabaya alikuwa jeuri na mbabe kwelikweli.
Nakumbuka aliorganize wavuta bhange wapige mawe msafara wa lisu.
 
Hii kesi huwa unaifuatilia na aina ya ushahidi unaotolewa? Nakushauri uwe unafuatilia acha kusimuliwa.
 
Yaani mpaka Ras Mtimanyongo akwambie,Magufuli alishachafuka siku nyingi.

Fikiria mtu anaiba kura,anawanyima haki waTanzania ya kuchagua huyu ni hovyo wa viwango vyote unavyojua.
Ni vyema chama tawala ikawa na utarstibu wa kum censure a sitting president ambaye anakwenda kinyuma cha matarajio ya chama na wananchi.
 
Ni vyema chama tawala ikawa na utarstibu wa kum censure a sitting president ambaye anakwenda kinyuma cha matarajio ya chama na wananchi.
CCM nayo imeumbuka kwa tukio hili.
Hatuwezi kuwa na Mwenyekiti anayeendesha vitendo vya kiharamu dhidi ya wananchi wake.
 
Haki imetendeka mkuu
 
Mdomo koma usije kiponza kichwa. Sema tujiandae kisaikolojia kesi ya Mzee wa Bapa
 
Iyo amani ya nchi unaijua wewe peke yako?

Hamna uwezo wa kunfunga mbowe mtamuachia mtake mistake.

Ati mkamataji, mpelelezi,mfungua kesi, shahidi nihuyohuyo.

Hata wewe unaijua hiyo lkni kwa vile akili zako zimeshikwa sikulaumu.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Ni pamoja na utawala huu uliopo sasa kwani watawala ni walewale waliobadilishana nafasi tuu. Na zaidi CCM ndiyo wenye dhamana ya watawala Hawa. CCM lazima wajitafakari sana
 
....noma sana.
 
Lakini hao hao wateule wa nduli Jiwe wote walikuwa hawamkubali labda mpango tu.
 
Rufaa atachomokaje na ameshakiri aliyoyafanya.. kwamba ni amri kutoka juu, j kuna kifungu cha kuhalisha uovu kwa kigezonhicho?
Wamesema kulikuwa na mapungufu na kifungo ni kikubwa sana.

Hii ni maelezo yao si yangu
 
Ni pamoja na utawala huu uliopo sasa kwani watawala ni walewale waliobadilishana nafasi tuu. Na zaidi CCM ndiyo wenye dhamana ya watawala Hawa. CCM lazima wajitafakari sana
Ni kweli mkuu.
Hili tukio la Sabaya ni failure of the checks and balance within the State.

As a democracy we stooped too low!

CCM ilifeli kucheck excesses za Mwenyekiti wake, si vizuri hili likajirudia in future.
 
Jifariji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…