Ole Sabaya: Hai iliendeshwa kihuni sana, mimi nimekuwa mwarobaini

Takwimu zinaonyesha ujambazi ulikithiri, mihadarati, wananchi wanyonge kuporwa mashamba, makusanyo hafifu ya kodi, uhaba wa vituo vya afya, miundombinu chakavu na mengine mengi ya hovyo.
yeye mwenyewe alikuwa jambazi tena hatari kabisa!
Alikuwa na kundi la uporaji kabisa tena hadharani!
 
Kwa Mujibu wa maelezo yaliyotelewa leo na DC wa Hai, Sabaya, 360 Clouds, hakika eneo hilo uwajibikaji ulikuwa duni sana .

Takwimu zinaonyesha ujambazi ulikithiri, mihadarati, wananchi wanyonge kuporwa mashamba, makusanyo hafifu ya kodi, uhaba wa vituo vya afya, miundombinu chakavu na mengine mengi ya hovyo.

Kwa maelezo yake ni kama ilikuwa zone fulani ya gangstar.

Kwakuwa hili kalisema hadharani mchana kweupee kwenye media ambayo inatazamwa na kusikilizwa na Watanzania wengi ,ajitokeze Mtanzania hadharani apingane nae kwa takwimu, maana bila kukanushwa madai yake ni dhahiri aliyekuwa mbunge anawajibika kwa lawama na uhalibifu wote uliotokea kwa jamii na serikali kwa ujumla, sababu mbunge ni sauti ya wananchi.
Kheeee...!!! Kwamba mbunge anaweza akamzidi mkuu wa wilaya..!!
Hivi aliyeenda kufyeka mashamba ya Mbowe alikuwa mbunge wa Hai?
 
Hivi bado hajauwawa tu. Huyo ni wa kumuua maana alichokifanya akiwa dc ni ufedhuri.

Yaani sabaya bado yuko hai?
 
Kwa Mujibu wa maelezo yaliyotelewa leo na DC wa Hai, Sabaya, 360 Clouds, hakika eneo hilo uwajibikaji ulikuwa duni sana .

Takwimu zinaonyesha ujambazi ulikithiri, mihadarati, wananchi wanyonge kuporwa mashamba, makusanyo hafifu ya kodi, uhaba wa vituo vya afya, miundombinu chakavu na mengine mengi ya hovyo.

Kwa maelezo yake ni kama ilikuwa zone fulani ya gangstar.

Kwakuwa hili kalisema hadharani mchana kweupee kwenye media ambayo inatazamwa na kusikilizwa na Watanzania wengi ,ajitokeze Mtanzania hadharani apingane nae kwa takwimu, maana bila kukanushwa madai yake ni dhahiri aliyekuwa mbunge anawajibika kwa lawama na uhalibifu wote uliotokea kwa jamii na serikali kwa ujumla, sababu mbunge ni sauti ya wananchi.
Subiri toto tundu kupokea uteuzi maana ofisi ya uteuzi kwa sasa inatimiza ule msemo wa ' nguruwe aliyeyeoshwa amerudi kugagaa kwenye matope'
Bosi wako wa kikosi kazi cha uporaji sasa hivi ni mNEC .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom