Ole Sabaya: Hai iliendeshwa kihuni sana, mimi nimekuwa mwarobaini

Ole Sabaya: Hai iliendeshwa kihuni sana, mimi nimekuwa mwarobaini

Mambo aliyoongea Ole Sabaya ni mazito kweli kweli kuanzia ukusanyaji/uzalishaji hafifu wa Kodi kutoka nafasi ya 112 (_kwa wilaya za Tanzania) hadi nafasi ya 6, matumizi ya mihadarati, uporaji wa ardhi za wananchi wanyonge na uongozi mbovu wa mbunge (Mhe.Freeman Mbowe) katika mambo mengi sana!

Sasa mtu makini pamoja na mapungufu ya Ole Sabaya ungetegemea CHADEMA au Mhe.Mbowe wajiandae/ajiandae kuleta counter report itakayo disqualify facts za Ole Sabaya (ziambatane na takwimu), lakini unaweza kukuta eti wameamua kususia kuangalia Clouds TV ! Too Myopic!

Hatua yoyote tofauti na ku- face facts za Ole Sabaya ni sawa na kupulizia mzoga pafyumu ukidhani unadhibiti harufu, it's just a matter of time!

Sawa umesikika mjinga wa mwaka 2021
 
Watu wanaomdiss ole sabaya nawaona wapuuzi! Jamaa anachapa kazi na siku zote ukiwa strict katika mafasi ya utawala lazima utakuwa na maadui wengi!

Maadui lazma wengi sababu jamaa hacheki na kima! Wabongo wanafurahia uongozi wa kubembelezana na kuombana ombana kwenye utekelezaji wa majukumu na ndio maana wanamfurahia mama sababu wanajua kuna room yw kufanya uzembe na bado wasiathirike!
eti ukiwa strict kwa akili yako unaona kutumia mabavu ndio njia sahihi ya kufanya kazi vizuri .
 
Wale Mataga /watangazaji Tivi Mawingu wakamatwe na kuchunguzwa.
 
Wakati yeye mwenyewe alifanya mambo ya kihuni

Ova
 
Kwa Mujibu wa maelezo yaliyotelewa leo na DC wa Hai, Sabaya, 360 Clouds, hakika eneo hilo uwajibikaji ulikuwa duni sana .

Takwimu zinaonyesha ujambazi ulikithiri, mihadarati, wananchi wanyonge kuporwa mashamba, makusanyo hafifu ya kodi, uhaba wa vituo vya afya, miundombinu chakavu na mengine mengi ya hovyo.

Kwa maelezo yake ni kama ilikuwa zone fulani ya gangstar.

Kwakuwa hili kalisema hadharani mchana kweupee kwenye media ambayo inatazamwa na kusikilizwa na Watanzania wengi ,ajitokeze Mtanzania hadharani apingane nae kwa takwimu, maana bila kukanushwa madai yake ni dhahiri aliyekuwa mbunge anawajibika kwa lawama na uhalibifu wote uliotokea kwa jamii na serikali kwa ujumla, sababu mbunge ni sauti ya wananchi.
Sasa hivi atakua aloe Vera sio muarobaini tena 🤣🤣🤣, ishajitokeza press ya ikulu jana 🤣🤣🤸🤸
 
Wewe mwenyewe hujielewi.

Kwa hiyo unasapoti Uongozi wa kikatili na kingese kama wa Sabaya?

Tanzania ina wakuu wa wilaya zaidi ya 120, mbona hao wengine hawalalamikiwi kama huyu?
Au huyo Sabaya ndio alikuwa DC muwajibikaji kuliko hao wengine 120 Tanzania nzima?
Kwasababu alisababisha Mbowe apoteze ubunge
 
Mpaka sasa inaonekana vijana wamefeli kudeliver katika uongozi. Vijana wengi viongozi ni changamoto.
 
Wanaomdiss Ole Sabaya nao wanakuona wewe mpuuzi tu maamuma wa utawala wa sheria unayetaka nchi iendeshwe kama genge la mafia!
Watu wanaomdiss ole sabaya nawaona wapuuzi! Jamaa anachapa kazi na siku zote ukiwa strict katika mafasi ya utawala lazima utakuwa na maadui wengi!

Maadui lazma wengi sababu jamaa hacheki na kima! Wabongo wanafurahia uongozi wa kubembelezana na kuombana ombana kwenye utekelezaji wa majukumu na ndio maana wanamfurahia mama sababu wanajua kuna room yw kufanya uzembe na bado wasiathirike!
 
Aliyetaka kumvunjia chama yuko six feet under .Wamebaki chawa zake tu kwa sasa.
Hivi hii Ruzuku ni kwa kila mwezi kumbe aisee[emoji15][emoji15][emoji15]!!! Huyu jamaa avunjiwe Chama tu kama hataki kuachia uenyekiti kwa miaka yote hio!

Ruzuku kwa mwaka its almost 3.6B halafu mtu awe hana hata ofisi! Maana kwa level hii ya ubinafsi chama kitakuwa hakipati hata sh.100 mbovu
 
Nasikia unaumwa UKIMWI pole sana mkuu lakini Mungu atakupinya!!
Naumwa ugonjwa wa furaha atuamini kama sasa tupo huru mliozoea kuona viroba baharini,ubambikaji, utekaji,maigizo ya mapapai, chips,mahindi mnapata tabu Sana zama hizi
 
Back
Top Bottom