Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Mambo aliyoongea Ole Sabaya ni mazito kweli kweli kuanzia ukusanyaji/uzalishaji hafifu wa Kodi kutoka nafasi ya 112 (_kwa wilaya za Tanzania) hadi nafasi ya 6, matumizi ya mihadarati, uporaji wa ardhi za wananchi wanyonge na uongozi mbovu wa mbunge (Mhe.Freeman Mbowe) katika mambo mengi sana!
Sasa mtu makini pamoja na mapungufu ya Ole Sabaya ungetegemea CHADEMA au Mhe.Mbowe wajiandae/ajiandae kuleta counter report itakayo disqualify facts za Ole Sabaya (ziambatane na takwimu), lakini unaweza kukuta eti wameamua kususia kuangalia Clouds TV ! Too Myopic!
Hatua yoyote tofauti na ku- face facts za Ole Sabaya ni sawa na kupulizia mzoga pafyumu ukidhani unadhibiti harufu, it's just a matter of time!
Sawa umesikika mjinga wa mwaka 2021