Wilson Joseph
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 311
- 275
Kwani yeye kaongea tu au katoa takwimu? Angetoa takwimu halisi ingekua rahis kuandika hayo uloandika sasa kuongea tu kama vile shida nini?Kwa Mujibu wamaelezo yaliyotelewa leo na DC wa Hai, Sabaya, 360 Clouds, hakika eneo hilo uwajibikaji ulikuwa duni sana .
Takwimu zinaonyesha ujambazi ulikithiri, mihadarati, wananchi wanyonge kuporwa mashamba, makusanyo hafifu ya kodi, uhaba wa vituo vya afya, miundombinu chakavu na mengine mengi ya hovyo.
Kwa maelezo yake ni kama ilikuwa zone fulani ya gangstar.
Kwakuwa hili kalisema hadharani mchana kweupee kwenye media ambayo inatazamwa na kusikilizwa na Watanzania wengi ,ajitokeze Mtanzania hadharani apingane nae kwa takwimu, maana bila kukanushwa madai yake ni dhahiri aliyekuwa mbunge anawajibika kwa lawama na uhalibifu wote uliotokea kwa jamii na serikali kwa ujumla, sababu mbunge ni sauti ya wananchi.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app