Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Anamzidi Lema jambazi wa magari?Hoja gani Huyu ni mhuni mvamizi wa maduka na mporaji tu hana lolote.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamzidi Lema jambazi wa magari?Hoja gani Huyu ni mhuni mvamizi wa maduka na mporaji tu hana lolote.
Wewe hata unachotete hujui , Huyo sabaya anatuhuma za criminal nyingi ,yeye aliamini katika kwenye kufanya kazi kwa visasi Kama ilivyokua hulka ya mwendazake ndo tiketi ya kupanda cheo ,vijana wanajitoa Sana ufaham kisa vyeo vya mda tu, Sasa subilin mapigo yatakayokaa juu yenu na familia zenu,Ile ya kutengeneza?
Kwani yeye ni mbunge mbadala? ni serikali yake ndio ilikuwa inafanya hivyo kwa vile maendeleo huwa yanafata chama husika!!Kwa Mujibu wamaelezo yaliyotelewa leo na DC wa Hai, Sabaya, 360 Clouds ,hakika eneo hilo uwajibikaji ulikuwa duni sana .
Takwimu zinaonyesha ujambazi ulikithiri,mihadarati,wananchi wanyonge kuporwa mashamba ,makusanyo hafifu ya kodi ,uhaba wa vituo vya afya ,miundombinu chakavu na mengine mengi ya hovyo .
Kwa maelezo yake ni kama ilikuwa zone flani ya maganstar.
Kwakua hili kalisema hadharani mchana kweupee kwenye media ambayo inatazamwa na kusikilizwa na watanzania wengi ,ajitokeze mtanzania hadharani apingane nae kwa takwimu ,maana bila kukanushwa madai yake ni dhahiri aliyekuwa mbunge anawajibika kwa lawama na uhalibifu wote uliotokea kwa jamii na serikali kwa ujumla ,sababu mbunge ni sauti ya wananchi
Endeleeni kutetea upumbavuKwani yeye ni mbunge mbadala? ni serikali yake ndio ilikuwa inafanya hivyo kwa vile maendeleo huwa yanafata chama husika!!
Tuhuma na uhalisia ni vitu viwili tofautiWewe hata unachotete hujui , Huyo sabaya anatuhuma za criminal nyingi ,yeye aliamini katika kwenye kufanya kazi kwa visasi Kama ilivyokua hulka ya mwendazake ndo tiketi ya kupanda cheo ,vijana wanajitoa Sana ufaham kisa vyeo vya mda tu, Sasa subilin mapigo yatakayokaa juu yenu na familia zenu,
Endeleeni kutetea ujingaWho is Sabaya? Kwamba eye Sasa ndo anaona ndo mkuu wa wilaya bora kuliko wote waliopita pale? Mbona tuhuma lukuki zinamkabili amekua akizipitia juu bila kutozitolea ufafanuzi wa kina
WATU husema
Ukiona mtu anajisifia kufanya kitu JUA hakuna alilofanya ,Kama umefanya nyamaza tu uliyoyafanya yatajieleza yenyewe, CHEC WATU KAMA MTAKA ,
Tz awamu ya tano imazalisha WATU wa ajabu hasa wengi waliokaa katika kivuli Cha ukatili ili kujipendekeza kulinda vyeo, ila mda ni MWALIM hawatakuja amini macho yao wataondoka dunian kwa mateso ,mungu ni fundi
Tuanzie hapa Wakuu: Hivi anayeendesha Serikali ni nani? Mbunge au Rais na Watendaji wake? Tukipata jibu hilo, basi mhusika wa kujibu kukithiri kwa hayo yaliyotajwa na Mheshimiwa DC Sabaya atapatikana.Mambo aliyoongea Ole Sabaya ni mazito kweli kweli kuanzia ukusanyaji/uzalishaji hafifu wa Kodi kutoka nafasi ya 112 (_kwa wilaya za Tanzania) hadi nafasi ya 6, matumizi ya mihadarati ,uporaji wa ardhi za wananchi wanyonge na uongozi mbovu wa mbunge (Mhe.Freeman Mbowe) katika mambo mengi sana!
Sasa mtu makini pamoja na mapungufu ya Ole Sabaya ungetegemea CHADEMA au Mhe.Mbowe wajiandae/ajiandae kuleta counter report itakayo disqualify facts za Ole Sabaya (ziambatane na takwimu),lakini unaweza kukuta eti wameamua kususia kuangalia Clouds TV ! Too Myopic!
Hatua yoyote tofauti na ku- face facts za Ole Sabaya ni sawa na kupulizia mzoga pafyumu ukidhani unadhibiti harufu, it's just a matter of time!
Hivi hii nchi ina wilaya ngapi?Waswahili husema " mlango unaopiga kelelee ndio hufanyiwa matengenezo" jamaa anajitanga kwa nguvu kubwa.
Siku zote sipo hapa jibizana na mtu ambae tiyari ana lahana, na niseme mungu akupe red cross KUANZIA mda huu dakika hii na kuendelea imekua, ndo ujue kwamba Sio WATU wotu hum ni wakuropoka kwaoTuhuma na uhalisia ni vitu viwili tofauti,mbona wewe unatuhumiwa ni shoga ,tuamini?
Issues za kuchukua wadada na kuwatishia kwa mabastola na kutaka kuwaingilia kinyume... Huyu jamaa huyu... Mungu atatoa hukumu yake siku si nyingi.Hivi mbunge ninserikali? Kwa ufinyu wako wa mawazo hata kazi za mbunge huzijui. Akili yako ni sawa na ya Sabaya.
Mbunge ana husikajena ujambazi, uvuta bangi, kuuza mihadharati?
Hii ni kuonyesha mnavyo idharaulisha serikali yenu na vyombo vya ulinzi na usalama.
Mbona hakiongelea kwenda kuvamia hoteli za watu usiku kutafuta wanawake?
Mbona haja zungumzia kuingia mabaa na kurusha huduma anazo tumia? Mbona haja zungumzia kufanya fujo disco na kupiga watu risasi?
Niwaambie kitu.
Mnazidi kuharibu. Acheni kujaribu kumpa kick Sabaya.
Polepole, za siku.Mambo aliyoongea Ole Sabaya ni mazito kweli kweli kuanzia ukusanyaji/uzalishaji hafifu wa Kodi kutoka nafasi ya 112 (_kwa wilaya za Tanzania) hadi nafasi ya 6, matumizi ya mihadarati ,uporaji wa ardhi za wananchi wanyonge na uongozi mbovu wa mbunge (Mhe.Freeman Mbowe) katika mambo mengi sana!
Sasa mtu makini pamoja na mapungufu ya Ole Sabaya ungetegemea CHADEMA au Mhe.Mbowe wajiandae/ajiandae kuleta counter report itakayo disqualify facts za Ole Sabaya (ziambatane na takwimu),lakini unaweza kukuta eti wameamua kususia kuangalia Clouds TV ! Too Myopic!
Hatua yoyote tofauti na ku- face facts za Ole Sabaya ni sawa na kupulizia mzoga pafyumu ukidhani unadhibiti harufu, it's just a matter of time!
Mimi nipo Arusha nilikutana na ndugu wa Sabaya,wanasema Sabaya ana laana ya baba yake pia anayo laana ya ukoo mzima.Hajawahi ongea na baba yake mzazi kwa miaka sasa ingawa wapo mkoa mmoja.Hayo yote anayofanya ni laana toka kwa wazazi.Siku zote ogopa gaidi na mtu anayeweza kuwafanyia mabaya wazazi wake.Wewe mtu wa pembeni anaweza kukufanya chochote bila huruma.Mtu wa aina hii ubinadamu hana kabisa!Kwakua hili kalisema hadharani mchana kweupee kwenye media ambayo inatazamwa na kusikilizwa na watanzania wengi ,ajitokeze mtanzania hadharani apingane nae kwa takwimu
Jipe raha mwenyewe kama shetani, utakapozinduka utajikuta palepale na chuki zakoSabaya kamnyoosha Mbowe haswa
Hoja gani, ili jamaa kwa vitendo vyake lingekuwa gerezani zamani.Pangueni hoja zake acheni vituko
Urefu ukizidi sana ndio matatizo hayo.Unaonekana una umri mkubwa ila akili zako ni sawa na mtoto wa Pre Unit tu