Ole Sabaya: Hai iliendeshwa kihuni sana, mimi nimekuwa mwarobaini

Ole Sabaya: Hai iliendeshwa kihuni sana, mimi nimekuwa mwarobaini

Anayesimamia ukusanyaji wa mapato ni mbunge au DED? Na kama ni ded tukisema serikali ya magu ndio ilikua shida tutakua tumekosea? Anayetakiwa kutoa fedha za ujenzi wa miundombinu sio serikali kweli? Na kama haikujenga miundombinu tukisema shida alikua na magu na serikali yake tutakua tumekosea?
Hivi hawajui kwa kufanya hivi wanaonyesha wazi kuwa serikali iliyokuwa madarakani haikuwatendea haki watu wa Hai? Hata kama madiwani wote walitoka Chadema, jukumu la yote haya ni ya serikali kuu.

Amandla...
 
Anayesimamia ukusanyaji wa mapato ni mbunge au DED? Na kama ni ded tukisema serikali ya magu ndio ilikua shida tutakua tumekosea? Anayetakiwa kutoa fedha za ujenzi wa miundombinu sio serikali kweli? Na kama haikujenga miundombinu tukisema shida alikua na magu na serikali yake tutakua tumekosea?
Utetezi mfu kabisa
 
Nimeandika mara nyingi humu kua mwenyekiti ni 'ntu ya dili' naishiwa kutukanwa. Huwezi kupokea ruzuku ya milioni 300 per month for more than 5 yrs halafu ushindwe kujenga ofisi. Wabunge zaidi ya 60 walikua wanakatwa milioni mbili na ushee kuchangia chama, lakini matumizi hayaeleweki, na wanaogopa kuhoji.

Ukithubutu kuhoji kama alivyofanya Zitto, Mkumbo, Sumaye nk yatakukuta makubwa. Mwenyekiti ni zaidi ya dikteta... Ana timu za kumtetea humu mitandaoni mpaka unashangaa..
 
Kama mbunge hana role ya kuplay kuzuia ujambazi, mihadarati na uvutaji bango je kuna ulazima wa kuwepo wabunge?

Wakuu wa Mikoa na Wilaya hawawezi kufanya anachofanya mbunge na zaidi?
Hawa jamaa wanalipwa kutetea ujinga ,nahsi hawajitambui
 
Mambo aliyoongea Ole Sabaya ni mazito kweli kweli kuanzia ukusanyaji/uzalishaji hafifu wa Kodi kutoka nafasi ya 112 (_kwa wilaya za Tanzania) hadi nafasi ya 6, matumizi ya mihadarati ,uporaji wa ardhi za wananchi wanyonge na uongozi mbovu wa mbunge (Mhe.Freeman Mbowe) katika mambo mengi sana...
Seriously unataka Mbowe au Chadema wajibishane na Ole Sabaya? Watu waliompuuza Spika ndio wajibishane na DC? Kwa sababu mafanikio yote yanayotajwa yamepatikana wakati Mbowe akiwa mbunge basi dhahiri halikuwa kwake bali kwa utawala uliokuwepo wa wilaya.

Amandla...
 
Umekosa cha kuandika mpaka uandike taarifa za kibaka . Chema chajiuza kibaya chajitembeza .
 
Kwa Mujibu wamaelezo yaliyotelewa leo na DC wa Hai, Sabaya, 360 Clouds ,hakika eneo hilo uwajibikaji ulikuwa duni sana...
Sabaya ni mla rushwa anayeshirikiana na afisa mmoja wa ardhi kwa jina anaitwa Jacob. Nitashangaa kama huyu bwana bado yuko kazini kwani kwa sasa Inawezekana yupo jela!!
 
Hapo HAI mkuu wa Mkoa na Wilaya kabla ya Sabaya alikuwa Mbowe..??

Kazi ya Mbunge ni ipi..? Au Mbowe alikuwa Waziri wa mambo ya ndani..!?

Ccm inamiliki Wajinga tupu.
 
Hivi huko bongo kuna kitu mnanyweshwa ili kuwaondoa ufahamu au?!
Kwa hiyo kwa sasa huyo sabaya ndiye mbunge wa Hai?!
 
Back
Top Bottom