Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mkusanya kodi ni nani? Anayeongoza kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ni nani?Mambo aliyoongea Ole Sabaya ni mazito kweli kweli kuanzia ukusanyaji/uzalishaji hafifu wa Kodi kutoka nafasi ya 112 (_kwa wilaya za Tanzania) hadi nafasi ya 6, matumizi ya mihadarati ,uporaji wa ardhi za wananchi wanyonge na uongozi mbovu wa mbunge (Mhe.Freeman Mbowe) katika mambo mengi sana.
Huyu Sabaya ndio anaharibu kabisa bora ingekuwa mjanja ange kaa kimya kabisa ,Hivi mbunge ninserikali? Kwa ufinyu wako wa mawazo hata kazi za mbunge huzijui. Akili yako ni sawa na ya Sabaya.
Mbunge ana husikajena ujambazi, uvuta bangi, kuuza mihadharati?...
Mataga wakikujibu nistueTunaomba kujua majukumu ya mbunge na majukumu ya mkuu wa wilaya tafadhali
Halmashauri ya Hai ilikua chino ya CHADEMA so mapato yakipanda mna credit kwa sabaya ila yakitokea failures then lawama kwa Mbowe kama Mbunge!Mambo aliyoongea Ole Sabaya ni mazito kweli kweli kuanzia ukusanyaji/uzalishaji hafifu wa Kodi kutoka nafasi ya 112 (_kwa wilaya za Tanzania) hadi nafasi ya 6, matumizi ya mihadarati...
PointlessKipi cha maana kafanya zaidi ya kupora wafanyabiashara
Sauti yake ilikuwa wapi kama mwakilishi wa wananchi wakifanyiwa madhira ?, pathetic!Hivi mbunge ninserikali? Kwa ufinyu wako wa mawazo hata kazi za mbunge huzijui. Akili yako ni sawa na ya Sabaya.
Mbunge ana husikajena ujambazi, uvuta bangi, kuuza mihadharati?....
Ile ya kutengeneza?Ile video yake akiwabananisha wale wafanyabiashara Arusha alishaiweka sawa?
Mbunge anawajibikaje hapo? Mbunge ana nafasi gani ktk kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya? Kwanini asiwajibike DC, OCD, OCID, DSO na DASKwa Mujibu wamaelezo yaliyotelewa leo na DC wa Hai, Sabaya, 360 Clouds ,hakika eneo hilo uwajibikaji ulikuwa duni sana .
Takwimu zinaonyesha ujambazi ulikithiri,mihadarati,wananchi wanyonge kuporwa mashamba ,makusanyo hafifu ya kodi ,uhaba wa vituo vya afya ,miundombinu chakavu na mengine mengi ya hovyo...
Jibu hoja zake,acha kuongea kitu ambacho huna ushahidi nacho.Kipi cha maana kafanya zaidi ya kupora wafanyabiashara
Hamuoni mwenzake Happy kule Irnga tangu jamaa kaondoka nae kawa kimya?? Yaani haijulikani yuko wapiHuyu Sabaya ndio hanaaribu kabisa bora ingekuwa mjanja ange kaa kimya kabisa ,
Kama mbunge hana role ya kuplay kuzuia ujambazi, mihadarati na uvutaji bango je kuna ulazima wa kuwepo wabunge?Hivi mbunge ninserikali? Kwa ufinyu wako wa mawazo hata kazi za mbunge huzijui. Akili yako ni sawa na ya Sabaya.
Mbunge ana husikajena ujambazi, uvuta bangi, kuuza mihadharati?...
Waswahili husema " mlango unaopiga kelelee ndio hufanyiwa matengenezo" jamaa anajitanga kwa nguvu kubwa.mnampa Sana airtime huyu mtu
Mbunge anakusanya Kodi? Mbunge ndio Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya? Huyu mbwa ni mpuuzi na naamini Mama Samia atamtendea hakiKwakua hili kalisema hadharani mchana kweupee kwenye media ambayo inatazamwa na kusikilizwa na watanzania wengi ,ajitokeze mtanzania hadharani apingane nae kwa takwimu ,maana bila kukanushwa madai yake ni dhahiri aliyekuwa mbunge anawajibika kwa lawama na uhalibifu wote uliotokea kwa jamii na serikali kwa ujumla ,sababu mbunge ni sauti ya wananchi
His days are numberedWaswahili husema " mlango unaopiga kelelee ndio hufanyiwa matengenezo" jamaa anajitanga kwa nguvu kubwa.
Anayesimamia ukusanyaji wa mapato ni mbunge au DED? Na kama ni ded tukisema serikali ya magu ndio ilikua shida tutakua tumekosea? Anayetakiwa kutoa fedha za ujenzi wa miundombinu sio serikali kweli? Na kama haikujenga miundombinu tukisema shida alikua na magu na serikali yake tutakua tumekosea?Kwa Mujibu wamaelezo yaliyotelewa leo na DC wa Hai, Sabaya, 360 Clouds ,hakika eneo hilo uwajibikaji ulikuwa duni sana ....
kuna candidates wazuri zaidi yake. but not sabayaThe next JPM is Ole Sabaya
DC, OCD na Mkurugenzi wa wakati wa Mbowe walikuwa wote kutoka Chadema?Kwa Mujibu wamaelezo yaliyotelewa leo na DC wa Hai, Sabaya, 360 Clouds, hakika eneo hilo uwajibikaji ulikuwa duni sana...