Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wa kumpinga inabidi atumie takwimu, za kwake ziko wapi?Kwa Mujibu wamaelezo yaliyotelewa leo na DC wa Hai, Sabaya, 360 Clouds ,hakika eneo hilo uwajibikaji ulikuwa duni sana .
Takwimu zinaonyesha ujambazi ulikithiri,mihadarati,wananchi wanyonge kuporwa mashamba ,makusanyo hafifu ya kodi ,uhaba wa vituo vya afya ,miundombinu chakavu na mengine mengi ya hovyo .
Kwa maelezo yake ni kama ilikuwa zone flani ya maganstar.
Kwakua hili kalisema hadharani mchana kweupee kwenye media ambayo inatazamwa na kusikilizwa na watanzania wengi ,ajitokeze mtanzania hadharani apingane nae kwa takwimu ,maana bila kukanushwa madai yake ni dhahiri aliyekuwa mbunge anawajibika kwa lawama na uhalibifu wote uliotokea kwa jamii na serikali kwa ujumla ,sababu mbunge ni sauti ya wananchi
Nimecheka kwa nguvu vibaya sana, hapa unaelezea hizo unazoita facts za Sabaya, lakini inakuwa kama Sabaya alikuwa anafanya hayo ili kushindana na Mbowe. Halafu kwa jinsi usivyo na jipya unamfananisha mbunge, tena wa upinzani dhidi ya mkuu wa Wilaya mwenye kiburi cha madaraka. Hapa naona ni uzi wa kumsafisha Sabaya dhidi ya maovu yake, huku ukitaka tuamini Mbowe alikuwa tatizo huko Hai. Labda utuambie Sabaya alipofika alikuta huko Hai hakuna shule, kituo chochote cha afya, barabara nk, alipofika ndio vikaanza.Nimemsikiliza katoa facts tupu tena kwa data ,hili limewakera sana wafuasi wa Mbowe ,
Inatakiwa serikali ilinde hivi vipaji kwa nguvu nyingi sana
Huyu ni chenga kodi zinakusanywa na mkurungezi na timu ya wataalam chini yake, ulinzi unafanywa na OCD wakissimamiwa na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wa wilaya ambaye ni DC anajipendekeza hizo siyo kazi za mbunge jitambueeMambo aliyoongea Ole Sabaya ni mazito kweli kweli kuanzia ukusanyaji/uzalishaji hafifu wa Kodi kutoka nafasi ya 112 (_kwa wilaya za Tanzania) hadi nafasi ya 6, matumizi ya mihadarati ,uporaji wa ardhi za wananchi wanyonge na uongozi mbovu wa mbunge (Mhe.Freeman Mbowe) katika mambo mengi sana!
Sasa mtu makini pamoja na mapungufu ya Ole Sabaya ungetegemea CHADEMA au Mhe.Mbowe wajiandae/ajiandae kuleta counter report itakayo disqualify facts za Ole Sabaya (ziambatane na takwimu),lakini unaweza kukuta eti wameamua kususia kuangalia Clouds TV ! Too Myopic!
Hatua yoyote tofauti na ku- face facts za Ole Sabaya ni sawa na kupulizia mzoga pafyumu ukidhani unadhibiti harufu, it's just a matter of time!
Mleta uzi na sabaya wote hawajui kazi za mbunge? sabaya anadanganya kazi za mkurungezi anataka zifanywe na mbunge?Nimecheka kwa nguvu vibaya sana, hapa unaelezea hizo unazoita facts za Sabaya, lakini inakuwa kama Sabaya alikuwa anafanya hayo ili kushindana na Mbowe. Halafu kwa jinsi usivyo na jipya unamfananisha mbunge, tena wa upinzani dhidi ya mkuu wa Wilaya mwenye kiburi cha madaraka. Hapa naona ni uzi wa kumsafisha Sabaya dhidi ya maovu yake, huku ukitaka tuamini Mbowe alikuwa tatizo huko Hai. Labda utuambie Sabaya alipofika alikuta huko Hai hakuna shule, kituo chochote cha afya, barabara nk, alipofika ndio vikaanza.
Ni wapi nchi hii hakuna mgogoro wa ardhi, ni wilaya ipi haina shule, kituo cha afya nk, ili tumpeleke Sabaya akaanze kutekeleza hayo? Bado mna balance shobo za ccm kwa kutumia mgongo wa cdm?
Endeleeni kutetea upumbavuMleta uzi na sabaya wote hawajui kazi za mbunge? sabaya anadanganya kazi za mkurungezi anataka zifanywe na mbunge?
wewe mwenyewe hujui kazi za mbunge ni kukusanya kodi? Huu si ni uongoEndeleeni kutetea upumbavu
Mbunge ndio anakusanya kodi au anaamrisha polisi wazuie ujambaziPangueni hoja zake acheni vituko
Unashida ya akili hoja za mkuu wa wilaya ajibu mbunge kwani mkuu wa wilaya ni mwanasiasa au raisi wa nchi alikuwa haongozi ilo eneoMambo aliyoongea Ole Sabaya ni mazito kweli kweli kuanzia ukusanyaji/uzalishaji hafifu wa Kodi kutoka nafasi ya 112 (_kwa wilaya za Tanzania) hadi nafasi ya 6, matumizi ya mihadarati ,uporaji wa ardhi za wananchi wanyonge na uongozi mbovu wa mbunge (Mhe.Freeman Mbowe) katika mambo mengi sana!
Sasa mtu makini pamoja na mapungufu ya Ole Sabaya ungetegemea CHADEMA au Mhe.Mbowe wajiandae/ajiandae kuleta counter report itakayo disqualify facts za Ole Sabaya (ziambatane na takwimu),lakini unaweza kukuta eti wameamua kususia kuangalia Clouds TV ! Too Myopic!
Hatua yoyote tofauti na ku- face facts za Ole Sabaya ni sawa na kupulizia mzoga pafyumu ukidhani unadhibiti harufu, it's just a matter of time!
Hoja ipi ya kupangua Mkuu?!Pangueni hoja zake acheni vituko
Wasakwe na wahojiweyaani mmbunge ndio anawajibika? kipindi hayo yanafanyika hakukuwa na mkuu wa wilaya kabla yake?
Yaliripotiwa wapi hayo madhilaSauti yake ilikuwa wapi kama mwakilishi wa wananchi wakifanyiwa madhira ?, pathetic!
Taja hizo hojaaaJibu hoja zake,acha kuongea kitu ambacho huna ushahidi nacho.
Who is Sabaya? Kwamba eye Sasa ndo anaona ndo mkuu wa wilaya bora kuliko wote waliopita pale? Mbona tuhuma lukuki zinamkabili amekua akizipitia juu bila kutozitolea ufafanuzi wa kinaKwa Mujibu wamaelezo yaliyotelewa leo na DC wa Hai, Sabaya, 360 Clouds ,hakika eneo hilo uwajibikaji ulikuwa duni sana .