Ole Sabaya hata kama alikuwa na hatia lakini sio ya unyag'anyi wa kutumia silaha. Hakimu aliyehukumu hana weledi

Mkuu hii comment yako nimeipenda! Big up.
 
Uwezo wa kuona video clip Hauna kweli bongo lala
Uwezo wa kuona video clip huna kweli wewe bongo lala 'he is a failed politician' failed politicians are easily sold and bought '
 
Hakuna na kesi mtu wa watu hata mbowe wote ila siasa ndo zilitaka Hawa jamaa wapoter hongera kwa kutenda haki mi nilikuwa timu sabaya ila sikutaka mbowe afungwe pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…