Ole Sabaya hata kama alikuwa na hatia lakini sio ya unyag'anyi wa kutumia silaha. Hakimu aliyehukumu hana weledi

Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.

Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.

My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
😊😊😊
 
Tena wakili amekiri kuwa mahakama imemsamehe mteja wao maana alitakiwa kutumikia miaka 30 kwa kila kosa i.e. x3= 90 yrs lakini atatumikia vifungo hivyo kwa pamoja = 30 yrs.
duh! Kwamba wanaishukuru Mahakama. Halafu huyu kada anajifanya anajua kuliko wanasheria
 
Lengutee huitaji Degree katika hili,kitendo cha kufanikisha jambo la uporaji kwa kuonyesha Silaha yako hata kama hukuitumia(kuifyatua kama ni ya moto au kumchoma/kumkata mtu kama ni Panga au Kisu)huo tayari ni UJAMBAZI wa kutumia Silaha maana uliitumia kwa kutishia ili utekeleze kusudio lako
 
Aliwakamata inavuotakiwa ? Na amri ilitoka kwa nani.? Je kwa nafasi aliyonayo ni kazi yake kukamata?
Hapa ndipo umepigia jibu mstari, hakufanya armed robbery,bali alikamata kimakosa.
 
naona wameshampiga na para tayari,leo kaenda Mahakamani akiwa na para kama lote,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mamamae
 
Take trouble tafuta penal code usome kosa la armed robbery limekuwa defined vipi? Acha porojo.
 
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.

Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.

My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Kateni rufaa atakayesikiliza na kuamua kesi ni hakimu mwingine
 
The matter in issue is armed robbery.
Kitendo cha yeye kuwa pale na silaha na victim kujua hilo tayari ni armed robbery.

Hujaona au kusikia watu wanavyoiba kwenye Bank tena kwenye counter.... Jamaa anatoa tu kanote kuwa toa pesa Nina silaha na bank teller anaobay.
 
Shuleless
 
Mpelekee Sabuni na Nyembe pale Kisongo,hapo utakuwa umemsaidia sana kuliko kupambana kuanzisha Mada zisizo na mashiko JF
 
Daah inahitaji kiwango kikubwa sana cha ujinga, uzandiki, unafiki, ufedhuli na undimilakuwili kumtetea Ole Sabaya!
 
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.

Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.

My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Duu! Uwezo wa kuona video clip zake Hamna ?kweli bongo lala
 
Kwa vile wewe ulikuwepo kila alipokwenda Sabaya, ilifaa ufike mahakamani na kutoa ushahidi wako kuonyesha kuwa hata siku moja Sabaya hajawahi kuwa na silaha akifanya uporaji wa mali hizo.

Akikata rufaa hakikisha hukosi mahakamani kutoa ushahidi, ili umponye au angalau apunguziwe miaka.
 
Back
Top Bottom