Ole Sabaya hata kama alikuwa na hatia lakini sio ya unyag'anyi wa kutumia silaha. Hakimu aliyehukumu hana weledi

Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.

Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.

My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Kata rufaa, muhimu Sabaya amefungwa mengine baadae
 
Mpaka ziishe kesi zote atakuwa amefungwa miaka 200. Bado mkoani Kilimanjaro nako watu wamefungua kesi, nako atafungwa jumla miaka 300. Huku kaskazini watu Wana elimu na wanajielewa. Hakuna mtu wa kuogopa kudai haki yake.
 
Huwa najiuliza aliyemteua alikuwa mzima kweli?
 
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.

Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.

My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Sasa mbona sabaya kaomba msamaha wa kufanya unyang'anyi kwa vile alitumwa na bosi wake????
 
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.

Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.

My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Kwa hiyo silaha aliyoibeba Sabaya kwenye eneo la tukio waiona kama kikombe cha kahawa? Au kama peni ya kuandika?

Au ulitaka yule mwenye duka ajeruhiwe ndiyo owe armed robbery? Kwani Idugunde kisomo chako ni la 7B?
 
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.

Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.

My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Yani atumie bastola yake mwenyewe kuiba halafu useme hakutumia silaha,hao vijana wake wote kaokota hawana kazi walikua ndio waporaji wenzake...bado hii ingine nayo ina 30 miaka
 
Twende turudi nyuma miaka 30 kwa kijana wa miaka 34 ni pigo kubwa na fundisho kwa vijana UVCCM wanaopewa vyeo kujiheshimu. CCM hii imekuwepo tangu enzi ya Mwalimu, wengi wamepita wakaiacha kwa hiyo usithubutu kupata maagizo ya mdomoni yasimo kwenye JD yako ambayo yanayokwenda kudhalilisha utu wa Mtanzania aisee wafwaaa !!

Neno moja tu asubuhi ya leo ni kwamba Mungu yupo na anaishi katikati yetu.
 
Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa

Mpeni point za kukata rufaa
 
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.

Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.

My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri Lengai Ole Sabaya kachukua tabia ya Baba yake
 
Unajipa matumaini. Kubali tu kuwa haki imetendeka na imeonekana kutendeka Subiri tuone!!
Tuwe na akiba ya maneno
Screenshot_20211017-085523.jpg
 
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.

Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.

My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
WEWE NAYE HUWE UNATUMIA AKILI KWANI UJUI KUWA SABAYA KAHUKUMIWA NA IKULU [emoji849][emoji849]HUKUMU YOTE IMEANDALIWA IKULU NA MAMA SA 100
 
Kila siku mahakimu kama hawa wanaumbuka High Court.
Sabaya na wewe wote wapuuzi.
Sabaya amekubali kwamba alitenda aliyotenda ila kwa maelekezo ya mamlaka za uteuzi ( lile fedhuli lililokufa)
Wewe kwa ujuha wako unakuja kuandika upuuzi hapa ati high court?
Na leo tena yupo kikaangoni nenda kamsaidie.
Mmajifanya mkiwa ccm mpo juu ya sheria???
 
Back
Top Bottom