Ole Sabaya hata kama alikuwa na hatia lakini sio ya unyag'anyi wa kutumia silaha. Hakimu aliyehukumu hana weledi

Hakimu sijui ametoka geita huko unategemea nini na alikuwa karibu na somebody mushi wa kike(aliyearishe kesi ya Sabaya)...lazima atadanganywa atimize malengo fulani.
 
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.

Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.

My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Sasa unapoenda eneo la tukio na bunduki umeninginiza begani halafu unachotaka upewe si halali,km huo si unyanganyi wa kutumia silaha Ni nini. Ile silaha maana yake anakutisha ili usifurukute au kuleta ubishi.

Kwahiyo nikija kwako nimeshika bastola mkononi nikakuamrisha toa pesa, kwasababu sijajeruhi mtu au kuitumia Ile bastola kivyovyote basi tukio lile litakuwa si la unyanganyi.

Una ubongo mavi na akili zako Ni mavi pia.
 
Sasa hiyo silaha aliyo kuwa nayo eneo la tukio, ilikuwa ni kwa ajili ya nini? Kuwalingishia hao wafanyabiashara?

Halafu unakili mwenyewe 'hata kama Sabaya ana hatia......!! Sasa si ndiyo hiyo ya unyang'anyi wa kutumia silaha!!

Hata kama alitishia tu, bado sheria iko pale pale! Miaka 30 jela, na viboko juu.
Angekuwa na mke akitoka jela angemhadithia jinsi alivyokula bakora za matakoni na kumwonyesha makalio.

Mpuuzi sana yule.

Wengi mnaomtetea Sabaya mko mbali na Wilaya ya Hai na hamjui kwa kina ushenzi,ujinga, upuuzi, ujambazi, wizi, ubabe, uhayawani,ufisadi na ufirauni wa Sabaya alioufanya.

Hicho kifungo Ni kidogo Sana,Sabaya hajatendewa haki.
 
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.

Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.

My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Huyo Hakimu kajidharaulisha sana ,aliamini atasifiwa,kiukweli kawachukiza watanzania wengi sana hasa wazalendo
 
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.

Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.

My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Huyu hapa Mh Hakimu , Mungu amlinde

Hakimu_Mkazi_Mwandamizi_wa_Mahakama_ya_Arusha%2C_Odira_Aloyce_Amworo%2C_ambaye_jana_Oktoba_15_...jpg
 
Angekuwa na mke akitoka jela angemhadithia jinsi alivyokula bakora za matakoni na kumwonyesha makalio.

Mpuuzi sana yule.

Wengi mnaomtetea Sabaya mko mbali na Wilaya ya Hai na hamjui kwa kina ushenzi,ujinga, upuuzi, ujambazi, wizi, ubabe, uhayawani,ufisadi na ufirauni wa Sabaya alioufanya.

Hicho kifungo Ni kidogo Sana,Sabaya hajatendewa haki.
Kwani amehukumiwa kwa mambo aliofanya akiwa wilaya ya Hai? Mbona unakuwa kama huelewi kinachondelea hasa.
 
1. Sabaya pale alienda Kama Nani?
2. Alienda kufanya nini?
3. Sheria gani inamruhusu kufanya vile ; kuteka watu na kuwaweka chini ya ulinzi, kuwapiga na mkanda- (Kuna CCTV inamuonyesha akipiga mtu na mkanda huku wameshikiwa bastola), kuwasachi watu na kuchukua fedha zao na simu, kudai apewe Rushwa(hongo ili asiwashitaki)
4. Sheria gani ya nchi inaruhusu mkuu wa wilaya kwenda sehemu ingine ambayo sio eneo lake la kazi, kuvamia biashara ya watu na kudai anafanya msako wa wanaotakatisha fedha
5. Kumshikilia mtu ( kumteka diwani Msangi) kwa masaa

Kitu ninashangaa mnapata wapi ujasiri wa kutetea uovu, ambao watu walipigwa,waliporwa fedha zao, walinyanyaswa...kama wewe sio muovu lazima uone wazi kuwa hilo jambo sio sahihi. Lakin ukiwa muovu kama yeye unaona sawa tu, na tena utatetea! Idiot
Katika haya ulioorodhesha kuna unyag'anyi wa kutumia siraha?
 
Ahahahaaaaa Mami , hata hili unalifanyia ligi ?!. Uvccm mnaumbuka vibaya . Mwenyekiti wenu alikaririwa akitaka atumie ghasia na ugaidi dhidi ya wanaopishana itikadi !!

Sabaya amekiri mwenyewe kuwa aliyafanya hayo kwa maelekezo ya mteuzi. Na akaenda mbali na kudai Gavana alikuwa anajua, na waziri wa fedha alikuwa anajua. Unataka hakimu amnusuru vipi na huku amekiri ?!

"Ukipenda chongo utaiona kengeza"
Picha hukulipata vizuri.
 
Back
Top Bottom