Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok mzee wa legacy, nasikia kilio chako kimesikika na sasa atatumikia miaka kumi tu! Hongera san mzee legacyNimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na siraha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia siraha.
Ili unyang'anyi wa kutumia siraha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa siraha, kutumia siraha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linasithibitishwa.
Lakini hata mashahhidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Huyu jamaa bado atakubishia tuBora utulie tu muheshimiwa kuliko kuendelea kujidhalilisha .
Hoja yako ni dhaifu sana halafu kadiri unavyozidi kuitetea ndio unavyozidi kuharibu.
Hivi jamba akivamia nyumbani kwako na panga akafanikiwa kuiba baadhi ya vitu ila hakuwadhuru ila nyinyo kwa hofu tu ya leile panga mliona bora mtulie msijekudhurika.
Hilo tukio mkienda kulitolea taarifa polisi unadhani huyo mwizi wenu atashitakiwa kwa charge ipi?
View attachment 1976713View attachment 1976713View attachment 1976714Pole MATAGA shetani hasafishiki...
It was just a matter of time..for justice to prevail..
Tulipokuwa tunawaambia we shall revisit mlikua hamuelewi??
Haya ushindi wa kishindo wa 84% boss wenu ameenda nao wapi sasa zaidi ya watu walivyomaliza maziko wakasahau kabisa?
Tulipokuwa tunasema dogo ana backup ya boss wenu mlikuwa hamtaki kuelewa??
Ona sasa boss wenu kavuruga diplomasia kwa miaka yake yote hadi watu wanatumia namba bandia za usajili wa gari za umoja wa mataifa kufanya uhalifu.
Mkuu dhana ya upekuzi juu ya magendo inashindwa kuwa sahihi kutokana na hao 'wenzake' alioongozana nao. Hawakuwa watumishi wa serikali,hivyo wanakosa uhalali wa kufanya oparesheni za serikali.Sababya na wenzake walikwenda na magari ya serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. .
Askari mlinzi benki akiwa na silaha akakwambia ondoka, huwa unamwogopa yeye ama silaha? bona huwa haukatai kuondoka ila mtu akikwambia nipishe kwenye daladala unagoma?Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.
Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.
Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Ni sahihi kabisa. Polisi wapo, ndio wenye mamlaka kisheria ya kumkamata mhalifu. Ndio wenye hakinkisheria kuwa na silaha wanapokwenda kumkamata mtuhumiwa, kama ni lazima. Yeye akawachukua majambazi wenzake, akawaacha polisi. Halafu wakapora pesa. Hawa waitwe nani zaidi ya kuwa majambazi?Kitendo tu cha kuwa na silaha wakati unataka kupora tayari ni ujambazi wa kutumia silaha. Sabaya kama kiongozi (DC) angeenda pale na polisi wakiwa na silaha ingeeleweka. Lakini yeye kwenda pale na watu wengine ambao si askari na kumlazimisha mtu kutoa fedha tayari status ya tukio inabadilika.
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
UAMUZI hutolewa kuzingatia ushahidi uliotolewa, sasa ulitakachakimu ahukumu kutokana na mapenzi yako kwa Sabaya?thate!
Umekuwa bush lawyer au vipi? Naona unamkosoa hakimu na kusema hana weledi.Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.
Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.
Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Ohh masikini mataga poriKila siku mahakimu kama hawa wanaumbuka High Court.
Tuwekeeni hukumu tuisone humuNimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.
Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.
Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Ndani ya siku 30 inamaanisha kama una hoja zilizo wazi na thabiti, unaweza kuwasilisha hata ndani ya wiki 1.Utaratibu appeal iwe ndani ya siku 30.
Hoja hii bado Idugunde haioni.Kitendo tu cha kuwa na silaha wakati unataka kupora tayari ni ujambazi wa kutumia silaha. Sabaya kama kiongozi (DC) angeenda pale na polisi wakiwa na silaha ingeeleweka. Lakini yeye kwenda pale na watu wengine ambao si askari na kumlazimisha mtu kutoa fedha tayari status ya tukio inabadilika.
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app