Ole Sabaya hata kama alikuwa na hatia lakini sio ya unyag'anyi wa kutumia silaha. Hakimu aliyehukumu hana weledi

Mwambie akate rufaa
 
Kwani kuvaa silaha kiuoni ndio kufanya uhalifu?
Bora utulie tu muheshimiwa kuliko kuendelea kujidhalilisha .

Hoja yako ni dhaifu sana halafu kadiri unavyozidi kuitetea ndio unavyozidi kuharibu.

Hivi jamba akivamia nyumbani kwako na panga akafanikiwa kuiba baadhi ya vitu ila hakuwadhuru ila nyinyo kwa hofu tu ya leile panga mliona bora mtulie msijekudhurika.

Hilo tukio mkienda kulitolea taarifa polisi unadhani huyo mwizi wenu atashitakiwa kwa charge ipi?
 
Hakuna aliyesema Sabaya alitumia siraha. Wewe ndio umesema.
Fuatilia vizuri hakuna hata sehemu moja waliyosema amefungwa kwa unyanganyi wa kutumi siraha.
 
Hakuna aliyesema Sabaya alitumia siraha. Wewe ndio umesema.
Fuatilia vizuri hakuna hata sehemu moja waliyosema amefungwa kwa unyanganyi wa kutumi siraha.
What is armed robbery? Ndio maana nakuambia kuna fyongo.
 
Wewe mwenye weledi nenda basi kamuhukumu ili uridhike,ule wakati wa mahakama kupokea amri kutoka juu umeisha sasa hivi watu wanafanya kazi kwa taratibu walizosomea.

Alikuwa anakupa kula na subiri siku zinakuja utazidi kuuona ugumu wa mtaa.
Siku hizi mahakama hazipokei amri kutoka juu sasa upande wa pili hukumu ikitoka msije .kasema hiyo ni amri kutoka juu mahakama ziko huru sasahivi
 
Pole MATAGA shetani hasafishiki...

It was just a matter of time..for justice to prevail..

Tulipokuwa tunawaambia we shall revisit mlikua hamuelewi??

Haya ushindi wa kishindo wa 84% boss wenu ameenda nao wapi sasa zaidi ya watu walivyomaliza maziko wakasahau kabisa?

Tulipokuwa tunasema dogo ana backup ya boss wenu mlikuwa hamtaki kuelewa??

Ona sasa boss wenu kavuruga diplomasia kwa miaka yake yote hadi watu wanatumia namba bandia za usajili wa gari za umoja wa mataifa kufanya uhalifu.
 

Kuweka rekodi sawa, kuna tofauti
baina ya siraha na silaha.

Ukivamia mahali ukiwa na silaha (hata kama ni panga), yaliyomkuta mshirika wenu ni halali yako.

Kumbuka mawakili wake wametambua:

Your browser is not able to display this video.


1. Huruma ya hakimu kwao 😁😁
2. Uzuri wa hukumu 😁😁

Mengine sasa ni kujikakamua tu.
 
Wakati yeye mwenyewe kwenye utetezi wake dakika ya mwisho alikiri kuwa alikuwa akitekeleza amri kutoka juu. Maana yake kuwa ni kweli alitenda kosa.
Amri ya kukamata wanaokwepa.
magendo.
 
Mataga Yana weweseka,Kama ulikuwa unamtegemea kafanye vibalua.
 
Pole sana Chifu.Ndo hivyo imeshatokea Jikaze kiume.Kupiga kelele hakutakusaidia.
 
Kongole kwako mkuu hukumu Haina weledi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…