Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie akate rufaaNimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na siraha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia siraha.
Ili unyang'anyi wa kutumia siraha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa siraha, kutumia siraha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linasithibitishwa.
Lakini hata mashahhidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Bora utulie tu muheshimiwa kuliko kuendelea kujidhalilisha .Kwani kuvaa silaha kiuoni ndio kufanya uhalifu?
Alipoambiwa ajitete jana alisemaje vile?What is armed robbery? Ndio maana nakuambia kuna fyongo.
Siku hizi mahakama hazipokei amri kutoka juu sasa upande wa pili hukumu ikitoka msije .kasema hiyo ni amri kutoka juu mahakama ziko huru sasahiviWewe mwenye weledi nenda basi kamuhukumu ili uridhike,ule wakati wa mahakama kupokea amri kutoka juu umeisha sasa hivi watu wanafanya kazi kwa taratibu walizosomea.
Alikuwa anakupa kula na subiri siku zinakuja utazidi kuuona ugumu wa mtaa.
Atakuwa mchumba wake huyoKagawane naye 15 kwa 15.
Nakumbuka, wewe ni mmoja ya waliokuwa wanamsifia sana kila ulipokuwa unaandikwa UNYAMA wake hapa!
Wakati yeye mwenyewe kwenye utetezi wake dakika ya mwisho alikiri kuwa alikuwa akitekeleza amri kutoka juu. Maana yake kuwa ni kweli alitenda kosa.High Court anachomoka zote. Wakati utaprove.
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na siraha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia siraha.
Ili unyang'anyi wa kutumia siraha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa siraha, kutumia siraha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linasithibitishwa.
Lakini hata mashahhidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Mataga Yana weweseka,Kama ulikuwa unamtegemea kafanye vibalua.Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na siraha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia siraha.
Ili unyang'anyi wa kutumia siraha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa siraha, kutumia siraha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linasithibitishwa.
Lakini hata mashahhidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Pole sana Chifu.Ndo hivyo imeshatokea Jikaze kiume.Kupiga kelele hakutakusaidia.Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na siraha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia siraha.
Ili unyang'anyi wa kutumia siraha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa siraha, kutumia siraha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linasithibitishwa.
Lakini hata mashahhidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Kongole kwako mkuu hukumu Haina welediNimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na siraha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia siraha.