Ole Sabaya hata kama alikuwa na hatia lakini sio ya unyag'anyi wa kutumia silaha. Hakimu aliyehukumu hana weledi

hakuna kesi hapo,rufaa , baadae atapewa alipe faini then mq8sha yanaendelea.kama mtu alikuwa na silaha na anaimiliki kisheria ,lkn hakimu kakiri hakuna mahali silaha hiyo ilipotumika au kutishia,inshu iliyobaki ni kesi ya kutumia madaraka v8baya labda iwe ndo kesi yake!. anyway ngoja tusubili mziki wa gaidi utakuwaje maana ile imekaa vibaya sana.
 
Safi Sana Mkuu Kwa Ufafanuzi mzuri.
 
Hujui wakili ana maana gani kujipendekeza kwa mahakama.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Unajipa matumaini. Kubali tu kuwa haki imetendeka na imeonekana kutendeka Subiri tuone!!
Hilo jina lako kwa kilugha chetu maana yake ni ile ya mwanamke kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yadungundaga....
 
sijui ameshakabidhiwa rasmi gwanda la Jela???maisha haya hayana formula kwa kweli
 

Kitendo cha kwenda pale yeye ni TRA?

FICHA UJINGA WAKO NA USHABIKI WAKO WA KINDEZI
 
Wewe mleta mada umemwona yule bibi anayelalamika,na kupiga ukunga kwa sababu ya unyama na ubaya alioutenda?Ukiiona ile crip utasema huyo dogo aongezewe 30 tena.Kaumiza watu sn sn huyo mtu ndugu
 
Ahahahaaaaa Mami , hata hili unalifanyia ligi ?!. Uvccm mnaumbuka vibaya . Mwenyekiti wenu alikaririwa akitaka atumie ghasia na ugaidi dhidi ya wanaopishana itikadi !!

Sabaya amekiri mwenyewe kuwa aliyafanya hayo kwa maelekezo ya mteuzi. Na akaenda mbali na kudai Gavana alikuwa anajua, na waziri wa fedha alikuwa anajua. Unataka hakimu amnusuru vipi na huku amekiri ?!

"Ukipenda chongo utaiona kengeza"
 
Siraha ndio kitu gani!!?
 
Ile Footage ya CCTV camera inaonesha Wakimzabua muuza duka na kitako Cha Bunduki uliitazama ?
 
Wewe mleta mada umemwona yule bibi anayelalamika,na kupiga ukunga kwa sababu ya unyama na ubaya alioutenda?Ukiiona ile crip utasema huyo dogo aongezewe 30 tena.Kaumiza watu sn sn huyo mtu ndugu
Sabaya amefungwa miaka 60, miaka 30 kwa kila kosa, ila kifungo kinaenda pamoja ndio maana atatumikia miaka 30.

Waandishi wa Tanzania hawana weledi wa kurepoti taarifa kiusahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…