Ole Sabaya kupanda Kizimbani leo kesi ya Uhujumu Uchumi

Ole Sabaya kupanda Kizimbani leo kesi ya Uhujumu Uchumi

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Aliye Kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya leo kuendelea na kesi ya Uhujumu uchumi na wenzake Sita.

Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajia kumsomea mashitaka hayo Sabaya ambayo ni kesi inayo mkabili na wenzake Sita.
 
Kesi mpya au kesi ni ileile lakini anasomewa mashitaka mapya?

Kesi mpya, kwamba Jamhuri imesajili kesi nyingine?
 
Kesi mpya au kesi ni ileile lakini anasomewa mashitaka mapya?

Kesi mpya, kwamba Jamhuri imesajili kesi nyingine?
Anasomewa Mashitaka mengine.
 
Aliye Kuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya anakabiliwa na kesi Mpya ya Uhujumu uchumi na wenzake Sita

Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajia kumsomea mashitaka hayo Sabaya ambayo ni kesi mpya inayo mkabili na wenzake Sita.
Afungwe haraka huyo jangili
 
Back
Top Bottom