Ole Sabaya kupanda Kizimbani leo kesi ya Uhujumu Uchumi

Ole Sabaya kupanda Kizimbani leo kesi ya Uhujumu Uchumi

Sabaya ana kesi tofauti tofauti! Ya kwanza ilikuwa unyang'anyi wa kutumia silaha. Hii ni nyingine tofauti ya uhujumu uchumi. Bado zipo nyingine zitafuata ambazo zipo kwenye upelelezi! Hawezi kuchomoa zote!
 
Kila akimaliza kesi moja inaibuka nyingine.
Hapo ikija kutolewa hukumu ni jela miaka 1k
 
Aliye Kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya leo kuendelea na kesi ya Uhujumu uchumi na wenzake Sita

Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajia kumsomea mashitaka hayo Sabaya ambayo ni kesi inayo mkabili na wenzake Sita.
Huyu ni shahidi wetu muhimu saana, msimfunge tafadhali........

Tunataka tujue tulimjeruhi wapi na kama alihisi tu aseme wazi yeye ni mjukuu wa sheikh Yahya ?
 
Huyu ni shahidi wetu muhimu saana, msimfunge tafadhali........

Tunataka tujue tulimjeruhi wapi na kama alihisi tu aseme wazi yeye ni mjukuu wa sheikh Yahya ?
Sawa mkuu tunambakiza kwanza ndio maana tunatafuta makosa.
 
Basi title ya uzi haijakaa sawa
Ni mashtaka mengine kesi nyingine ambayo inasomwa tu ila upelelezi haujakamilika

Ile ya unyang'anyi ndo iko hatua ya kusikilizwa sasa yenyewe imekamilika
 
Bado Bashite
IMG_20210707_132922_522.JPG
 
Huyu mwehu atapanda karandinga mpaka aje kuvaa jezi ya karoti ni miezi
Anaweza akapanda karandinga sana na asivae jezi ya karoti hadi mechi inaisha. Kama mechi zina tija basi atavaa, lakini kama ni friendly matches anaweza asivae.
 
Usajili wake kutoka "HAI District FC" kwenda "KISONGO FC" haujakamilika, michakato bado inaendelea. Ila club yake ya zamani ya HAI District ilishaachana naye, ni hao KISONGO FC kukamilisha tu documents zao ili mchezaji awe wao.
Hii miezi 4 ambayo amekaa magereza inamtosha kabisa
 
Back
Top Bottom