Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Sheria haiendi hivyo mkuu, najua unajua, ila unapenda kama ingekua hivyo. Hukumu inaanzia pale mahakama itakapothibitisha uhalifu wake. Huko nyuma alikua anahifadhiwa tu ili kuelekea kwenye kutafuta justice. Kama ingekua hivyo upendavyo, basi mtu akikutwa hana hatia baada ya kukaa rumande kwa muda fulani, angekua anadai fidia ya ule muda aliowekwa rumande.Hii miezi 4 ambayo amekaa magereza inamtosha kabisa