Sheria haiendi hivyo mkuu, najua unajua, ila unapenda kama ingekua hivyo. Hukumu inaanzia pale mahakama itakapothibitisha uhalifu wake. Huko nyuma alikua anahifadhiwa tu ili kuelekea kwenye kutafuta justice. Kama ingekua hivyo upendavyo, basi mtu akikutwa hana hatia baada ya kukaa rumande kwa muda fulani, angekua anadai fidia ya ule muda aliowekwa rumande.Hii miezi 4 ambayo amekaa magereza inamtosha kabisa
Kimsingi mtu anatakiwa kudai fidia lakini sema sheria zetu zimekaa kijinga sn maana muda wa mwanadamu hauwezi kufidiwa na kitu chochote.Sheria haiendi hivyo mkuu, najua unajua, ila unapenda kama ingekua hivyo. Hukumu inaanzia pale mahakama itakapothibitisha uhalifu wake. Huko nyuma alikua anahifadhiwa tu ili kuelekea kwenye kutafuta justice. Kama ingekua hivyo upendavyo, basi mtu akikutwa hana hatia baada ya kukaa rumande kwa muda fulani, angekua anadai fidia ya ule muda aliowekwa rumande.
hahahahahahajezi ya karoti ni miezi
Halafu BADO kuna walalamikaji wa/kwa matukio ya wilaya ya Moshi na Hai.Bampa to bampa
Bado Alexander Mnyeti, Nehemiah Mchechu( National Housing)........ Nao hukumu yao yaja watalipa tu.Bado BashiteView attachment 1910756
Kwa kosa gani?Bado BashiteView attachment 1910756
Kasomi oleho ngalo...Aliye Kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya leo kuendelea na kesi ya Uhujumu uchumi na wenzake Sita.
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajia kumsomea mashitaka hayo Sabaya ambayo ni kesi inayo mkabili na wenzake Sita.
Ngoja wapige danadana hiyo kesi mpaka dk90 ziisheIKUMBUKWE ALIKUWA DC HAI,lakini matukio ameyafanyia Arusha kama mhalifu mwingine.
Nitashangaa kama watakosea kuandika mashtaka yake,kwa matukio aliyoyafanya nje ya Wilaya aliyokuwa anaingoza!
huyu jamaa ana kesi ngapi? aiseee kweli cheo ni dhamana / hujafa hujaumbika.Aliye Kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya leo kuendelea na kesi ya Uhujumu uchumi na wenzake Sita.
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajia kumsomea mashitaka hayo Sabaya ambayo ni kesi inayo mkabili na wenzake Sita.
nasikia na ya kubaka wake za watu inafuatia..!!Kila wakitaka kumaliza moja inaibuka nyingine
Basi kazi anayo ngoja tusubiri hatima yake kama ataishia kuvaa sare au ataponyokaHuyu JANGIRI Sabaya na mtekaji Kingai walimvamia Mheshimiwa Mbowe hotelini wakiwa na MABUNDUKI na magari yenye nr za UN, ili wa muue mzee Mbowe.
tunamsubiri huku kwenye kesi ya Mheshimiwa,Mbowe akitia pua tu , tunae.
Jaji: wakili KIBATALA..😄