Ole Sabaya kutinga tena mahakamani Oktoba 18 kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

U DC ulimvuruga kichwa. Akajisahau
 
Huyu kijana Sabaya kweli alikuwa na maadui wengi, mitandao yote watu wanafurahia adhabu aliyopata huyu jamaa najiuliza kawafanyia nini lakini, huo sio ubinadamu kabisa
Ina maana mpaka sasa hujaelewa aliwafanyia nini?
 
Makondeko ndani ya 18...
 
Huyu kijana Sabaya kweli alikuwa na maadui wengi, mitandao yote watu wanafurahia adhabu aliyopata huyu jamaa najiuliza kawafanyia nini lakini, huo sio ubinadamu kabisa
Acha ahukumiwe kwa ujinga wake.
 
Duh

Ukisikia ngadu kwa ngadu

Mtu na mtu

siti mbanano ndiyo hiyo

Ova
 
Jamaa ana mlima wa kupanda kwa kweli...
 
Anaenda na sare, huyo n mfungwa
 
[emoji849][emoji849][emoji849].hata kama kumkomoa sio hivi.
ujue mwanzo alichukulia rahisi rahisi ila Mambo yameshakuwa magumu.
pale mahakamani alikuwa anacheka ila huko jela alikuwa analia 30 nyingi
30 nyingi sio utan

[emoji23][emoji23]
 
Kweli, amekuwa kitabu cha historia ya uongozi, nahisi umri nao wao teua wawe wanaungalia Sana, ujana unaupumbuvu Sana, lakini mvua 30 nazo dah!!! Nyingi wakate rufaa wampunguzie arudi azae hata mtoto uraiani
Mvua ilitakiwa ziwe 90, mawakili wake wakamuombolezea ndiyo maana kapigwa 30! This is according to wakili wake alivyoongea na media...
 
Huyu kijana Sabaya kweli alikuwa na maadui wengi, mitandao yote watu wanafurahia adhabu aliyopata huyu jamaa najiuliza kawafanyia nini lakini, huo sio ubinadamu kabisa
Kawatafute binadam siku ukiwapata njoo nao jukwaani
 
Samahani ila wewe bado mtoto mdogo sana ila sikulaumu unaendelea kujifunza. Hapo kila mmoja ni 30 years
Si wote wanasheria, kuto kujuwa kitu fulani hakuna uhusiano na umri, na si lazima ujuwe kila kitu, ndio maana kuna nafasi ya kuuliza, ila nashukuru kwa jibu, pamoja na kashfa!
 
Endeleeni tu kumshitaki sabaya. Tutaonana 2025.
 
Mvua ilitakiwa ziwe 90, mawakili wake wakamuombolezea ndiyo maana kapigwa 30! This is according to wakili wake alivyoongea na media...
Wakimtandika na ya muhudumu uchumi miaka 30 jamaa atakua na 60
 
Kudela na kila type ya wanachi wakorofi sio jambo dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…