Ole Sabaya leo atakuwa live katika kipindi cha Star Tv cha Big Ajenda

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
5,010
Reaction score
4,083
Lengai Ole Sabaya leo atakua live katika kipindi cha Star Tv cha Big Ajenda kimachorushwa Live kwanzia saa 3:30 mkapa saa 4:30 usiku

Mengi yamezungumzwa ,Mengi yamezushwa ni wakati sasa wa kuendelea kumpuuza mzushi wa Vifo mtandaoni.

Maendeleo hayana Vyama.

1615279129712.png
 
Jamaa yenu matango pori si ndio alizusha? Mmeshikwa pabaya.

Ova!
Jamaa yetu nani tena aliyetulisha hayo matango pori! 🤔
Mimi binafsi sina cha kupoteza! Aongee asiongee, ni juu yake! Afe asife, atajua mwenyewe.

Sina cha kupoteza.
 
Mkuu wa wilaya ya Hai yuko live muda huu katika kituo cha luninga cha Star tv!

Wabaya wake hasa chadema na yule mtwita mliyemzushia kifo sageni tu sumu!
 
Kapona eee. Lakini vcha moto ameipata. Tulijua toka mwanzo mijitu kama hii ni mibishikufa
Unavyomuona na huo mwili wake alikuwa anaumwa kweli?

Tatizo lenu akili zenu mmempa yule jamaa awabebee
 
Mkuu wa wilaya ya Hai yuko live muda huu katika kituo cha luninga cha Star tv!

Wabaya wake hasa chadema na yule mtwita mliyemzushia kifo sageni tu sumu!
Chadema yupi alimzushia kifo?

Amandla...
 
Mkuu wa wilaya ya Hai yuko live muda huu katika kituo cha luninga cha Star tv!

Wabaya wake hasa chadema na yule mtwita mliyemzushia kifo sageni tu sumu!

Post hali ya umeme nchini au mnasubiri zitto aseme?
 
Back
Top Bottom