Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kwako hakuna umeme?Post hali ya umeme nchini au mnasubiri zitto aseme?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwako hakuna umeme?Post hali ya umeme nchini au mnasubiri zitto aseme?
Vipi unajisikiaje kumuona Sabaya akiwa na afya njemaAnaongea pumba na ubabe tu.
Huyo alijizushia kifo kutafuta kiki tu hamna aliyemzushia.Kapona eee. Lakini vcha moto ameipata. Tulijua toka mwanzo mijitu kama hii ni mibishikufa
Kwamba mtwita ndio DC [emoji12][emoji23]Huyo alijizushia kifo kutafuta kiki tu hamna aliyemzushia.
Mbona ulifurahi sana?Huyo alijizushia kifo kutafuta kiki tu hamna aliyemzushia.
Kwako hakuna umeme?
Onesha popote nilipofurahia kifo cha huyo kima.Mbona ulifurahi sana?
Vipi unajisikiaje kumuona Sabaya akiwa na afya njema
Kwanini umamwita binadamu mwwnzio kima?Onesha popote nilipofurahia kifo cha huyo kima.
Mtwita anaingizwaga chaka kirahisi sana hasa na hao wa kitengo wenye njaa ambao huyu kima huweza watumia kumfikishia fake news!!Kwamba mtwita ndio DC [emoji12][emoji23]
Mkuu chadema wenzio walikuwa wana furahia sana ule uzushiUnawezaje kujua afya ya mtu kwa kumuangalia? Tumeagizwa upendo kwahiyo sina chuki na mtu yeyote ,ukiona tunaotoa mawazo tofauti haimaanishi ni chuki bali ni mtazamo kwa jinsi navyoliona jambo.
Kwa viwango vya ubinadamu huyo na wewe mnaangukia kwenye kariba ya kima.Kwanini umamwita binadamu mwwnzio kima?
Wewe ni nani?Kwa viwango vya ubinadamu huyo na wewe mnaangukia kwenye kariba ya kima.
Mtwita anaokota sana vichwa boga vya chademaMtwita anaingizwaga chaka kirahisi sana hasa na hao wa kitengo wenye njaa ambao huyu kima huweza watumia kumfikishia fake news!!
Tangu mwanzo niliwaambia watu huyu mjinga kajitafutia Kiki ili kumu win bwana yule.
Ana jambo gani jipya ,zaidi yatuyajuayo juu yake.Mkuu wa wilaya ya Hai yuko live muda huu katika kituo cha luninga cha Star tv!
Wabaya wake hasa chadema na yule mtwita mliyemzushia kifo sageni tu sumu!