Ole Sabaya leo atakuwa live katika kipindi cha Star Tv cha Big Ajenda

Ole Sabaya leo atakuwa live katika kipindi cha Star Tv cha Big Ajenda

Mtwita anaingizwaga chaka kirahisi sana hasa na hao wa kitengo wenye njaa ambao huyu kima huweza watumia kumfikishia fake news!!

Tangu mwanzo niliwaambia watu huyu mjinga kajitafutia Kiki ili kumu win bwana yule.
Uhh

Basi sawa.
 
Huyu jamaa ni mtawala na si kiongozi uchafu anaoufanya huku kanda ya kaskazini, mambo mengine ni uhalifu angekuwa Raia angepaswa kuwa jela
Anayoyafanya kwenye night clubs ni hovyo
Anatoka eneo lake la kazi kuja kufanya fujo maeneo mengine kisa yale mambo yetu[emoji179]
Ndio maana humuona kama kima tu.
 
Lakini muda wake ukifika lazima atakufa tu. Kama mimi na wewe tutakavyokufa.
 
Mkuu chadema wenzio walikuwa wana furahia sana ule uzushi

Hahaa kwamimi siwezi kufurahia kifo cha mtu maana njia yetu ni moja.

Ila sabaya ajaribu kupunguza maadui kama Nyanda alivyomwambia kuna maisha baada ya kustaafu,kuharibu shamba la mbowe kwa kigezo cha kuwa na mita 25 na 19 kushoto na kulia kutoka chanzo cha maji ni uonevu ,mashamba mengi sana yapo karibu na vyanzo vya maji mengine yanamilikiwa na ccm semak wa kuwa hawana shida nao wameachwa.
 
Alikuwa anajaribu kuua ile so ya kuvamia duka na kumpiga Diwani wa CCM Arusha.
 
Kazusha nini tena?
Amezusha eti ka Jiwe kako kwenye mitungi! Kazi kweli kweli! Sabay tuliaminishwa kwamba ameshindwa kupumua na yuko mahututi! Mpaka mwisho wa siku tukaambiwa ametangulia ila system imezuia wasitangaze!
 
Amezusha eti ka Jiwe kako kwenye mitungi! Kazi kweli kweli! Sabay tuliaminishwa kwamba ameshindwa kupumua na yuko mahututi! Mpaka mwisho wa siku tukaambiwa ametangulia ila system imezuia wasitangaze!
Alisema Bilal kavuta, siku hiyo hiyo akaonekana kwenye msiba wa Seif

Alisema Msigwa wa Ikulu yuko hoi

Alisema Lukuvi yuko hoi wiki hiyo hiyo akaonekana beach

Alisema Sendeka yuko hoi na muda wowote litatoka tangazo la kifo

Sasa wakati anasema jiwe anapumulia gesi anasahau kwamba aliwaambia wajinga wake kwamba huyo jiwe kachanjwa peke yake.

Hili la sabaya ndio limemvua nguo kabisa!

Shida iko sehemu moja tu, wafuasi wake ni misukule
 
Lengai Ole Sabaya leo atakua live katika kipindi cha Star Tv cha Big Ajenda kimachorushwa Live kwanzia saa 3:30 mkapa saa 4:30 usiku

Mengi yamezungumzwa ,Mengi yamezushwa ni wakati sasa wa kuendelea kumpuuza mzushi wa Vifo mtandaoni.

Maendeleo hayana Vyama.

View attachment 1720746
Undercover eagle 3 ghafla amekuwa njiwa 4
 
Back
Top Bottom