Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Mbona mwezi huu waongeaji wamekuwa wengi sana!Sawa
Ova
Namkubali sana Prof Yunus MgayaSawa
Ova
Lengai Ole Sabaya leo atakua live katika kipindi cha Star Tv cha Big Ajenda kimachorushwa Live kwanzia saa 3:30 mkapa saa 4:30 usiku
Mengi yamezungumzwa ,Mengi yamezushwa ni wakati sasa wa kuendelea kumpuuza mzushi wa Vifo mtandaoni.
Maendeleo hayana Vyama.
Jamaa yetu nani tena aliyetulisha hayo matango pori! 🤔Jamaa yenu matango pori si ndio alizusha? Mmeshikwa pabaya.
Ova!
Unavyomuona na huo mwili wake alikuwa anaumwa kweli?Kapona eee. Lakini vcha moto ameipata. Tulijua toka mwanzo mijitu kama hii ni mibishikufa
Mkuu wa wilaya ya Hai yuko live muda huu katika kituo cha luninga cha Star tv!
Wabaya wake hasa chadema na yule mtwita mliyemzushia kifo sageni tu sumu!
Chadema yupi alimzushia kifo?Mkuu wa wilaya ya Hai yuko live muda huu katika kituo cha luninga cha Star tv!
Wabaya wake hasa chadema na yule mtwita mliyemzushia kifo sageni tu sumu!
Mkuu wa wilaya ya Hai yuko live muda huu katika kituo cha luninga cha Star tv!
Wabaya wake hasa chadema na yule mtwita mliyemzushia kifo sageni tu sumu!
Wa mitandaoniChadema yupi alimzushia kifo?
Amandla...