At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
UhhMtwita anaingizwaga chaka kirahisi sana hasa na hao wa kitengo wenye njaa ambao huyu kima huweza watumia kumfikishia fake news!!
Tangu mwanzo niliwaambia watu huyu mjinga kajitafutia Kiki ili kumu win bwana yule.
Mimi ni mimi au una lingine?Wewe ni nani?
Ndio maana humuona kama kima tu.Huyu jamaa ni mtawala na si kiongozi uchafu anaoufanya huku kanda ya kaskazini, mambo mengine ni uhalifu angekuwa Raia angepaswa kuwa jela
Anayoyafanya kwenye night clubs ni hovyo
Anatoka eneo lake la kazi kuja kufanya fujo maeneo mengine kisa yale mambo yetu[emoji179]
Mkuu chadema wenzio walikuwa wana furahia sana ule uzushi
Ila ajitafakari, kwanini waliowengi wafurahie kifo chake?Kapona eee. Lakini vcha moto ameipata. Tulijua toka mwanzo mijitu kama hii ni mibishikufa
Walio wengi? Umefanya sensa wapi? Bavicha wengi hamnaga akili?Ila ajitafakari, kwanini waliowengi wafurahie kifo chake?
Utajua mwenyewe!Umejuaje kama mzushi
Amezusha eti ka Jiwe kako kwenye mitungi! Kazi kweli kweli! Sabay tuliaminishwa kwamba ameshindwa kupumua na yuko mahututi! Mpaka mwisho wa siku tukaambiwa ametangulia ila system imezuia wasitangaze!Kazusha nini tena?
Alisema Bilal kavuta, siku hiyo hiyo akaonekana kwenye msiba wa SeifAmezusha eti ka Jiwe kako kwenye mitungi! Kazi kweli kweli! Sabay tuliaminishwa kwamba ameshindwa kupumua na yuko mahututi! Mpaka mwisho wa siku tukaambiwa ametangulia ila system imezuia wasitangaze!
Utapeli na uporaji aache au aungame kwa ccm yake kuwa ataacha.Hili la sabaya ndio limemvua nguo kabisa!
Huyo mgaya kasomea marine science mambo ya Corona kayajulia wapi?Namkubali sana Prof Yunus Mgaya
Hasa kwa ufafanuzi wake wa jana kuhusu Corona!
Huyu jamaa sasa kawa mtaalam wa afya anajua antibody zinaingia mwilini na kushambulia
NIMRHuyo mgaya kasomea marine science mambo ya Corona kayajulia wapi?
mitaani na mitandaoni. Ukitaka kafanye na wewe uhakikishe.Walio wengi? Umefanya sensa wapi? Bavicha wengi hamnaga akili?
Undercover eagle 3 ghafla amekuwa njiwa 4Lengai Ole Sabaya leo atakua live katika kipindi cha Star Tv cha Big Ajenda kimachorushwa Live kwanzia saa 3:30 mkapa saa 4:30 usiku
Mengi yamezungumzwa ,Mengi yamezushwa ni wakati sasa wa kuendelea kumpuuza mzushi wa Vifo mtandaoni.
Maendeleo hayana Vyama.
View attachment 1720746