Ole Sabaya na wenzake wakutwa na kesi ya kujibu kwenye mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Hukumu ya kesi moja haifuti tuhuma za kesi nyingine.
 
Dogo atajuta babake aliyemtia ujinga huu kufa ghafla.

Yaani akitoka jela atakuta mchumba wake ana watoto 3, mlio karibu naye mpatieni ujumbe huu...kwamba maisha kila mtu huvuna alichopanda.
Mwenye namba za mchumba wake sabaya anipe connection ili nikale mzigo kimasihara
 
Mkuu wewe ndio ungekuwa umedhulumiwa mamilioni usingesema haya maneno, usimfikirie Sabaya tu wafikirie pia victims. Kupitia hii kesi Mzee Mrosso anaweza kupata pesa zake angalau kidogo
 
Kasi hii bila hukumu hizi kumhusisha Magu, si sahihi, mahakamani ifikie hatua ione haja ya kutoa neno dhidi ya Magu, hamna asiyejuwa hawa walifanya kwa amri/baraka zake, sawa tu kuwa hamna asiyejuwa kuwa kesi ya Mbowe ni sehemu ya adhari za Magu!
Ni mambo ya aibu sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…