Mwanamakunda
Member
- Apr 1, 2021
- 19
- 91
SABAYA NAKUHURUMIA HUKUMJUA MBOWE NI NANI?
Wakati unahangaika na mambo ya Ardhi, Mambo ya Qnet, Mambo ya Watumishi wa Umma, kutatua changamoto za wananchi wa Hai Tulidhani Dhamira yako ni ya kweli kumbe Target yako ni kutafuta wafuasi watakaokuunga mkono ili kumdhalilisha Mbowe.
Kitu ambacho hukujua wakati Unatumwa na Serikali yako ya CCM na kupewa nguvu ya Dola ni kuwa mtu unayeenda kupambana nae ni Mbabe wa kivita na Mwamba wa kisiasa.
Historia inaonesha Mbowe hakuhi kushindwa ubunge kwa miaka yote na wewe ukajifanya jasiri wa kubadili historia.
Kosa lako ni kupokea maelekezo bila kuangalia matokeo yake, Sasa uko benchi na sasa tuambie nani nani mshindi kati yako na Mbowe. Miongoni waliokupa kazi hiyo Ovu ya kumdhibiti Mwamba wanakuzomea na hakuna wa kusimama na wewe tena. Wacha Mwamba Akunyooshe sababu ameshakuvunja Mabawa na huwezi kuruka tena.
Kwakua wewe ndiye Uliyechukua Ubunge wa Mbowe Pale Hai kwa dharau na kiburi, na sasa haupo pale hai, Hii ni hatua ya kwanza ya kukuonesha Jimbo linaelekea wapi, Ufalme wa Mbowe utarudi, Utajua ni Nani, Ana nguvu gani na Utatulia. Pole sana Mbunge Bandia wa Hai bwana Saashisha, Sabaya Hukujua Mbowe ni Mtoto wa Mangi utawala wa Mangi hauwezi kuangushwa na Mgeni tena mtoto mdogo kama wewe kutoka umasaini. Pole sana. The xoming back is real.
Dkt Remen Lema