Ole Sabaya nakuhurumia, hukumjua Mbowe ni nani?

Ukitaka ku-deal na Mbowe unatakiwa uwe na weredi ya hali ya juu mno - ukiwa mbumbumbu utaishia njiani na jamii nzima itakuona ni kishekesho kama huyu bwa mdogo !!

So far hapa nchini hakuna aliyejaribu kupambana na Mbowe akamshinda!! kama yupo mtajeni.
Mkuu unaelewa unachojibu kweli?
 
Hayo uliyoyasema yatakua na ukweli pale uchunguzi utakapomtia sabaya hatiani na mahakama kumuadhibu. Kinyume cha hapo hakuna la kufurahia kwa sasa kwani kesho na kesho kutwa unaweza ukamuona sabaya mkuu wa mkoa kilimanjaro. Simsupport huyo muovu sabaya. Ila ni mtizamo wangu kwa uzoevu wa utawala wa CCM.
 
Mkuu unaelewa unachojibu kweli?
Sabaya alitajipa kazi ya ku-deal na Mbowe!! sasa moto unamuwakia - kupewa kazi bila kutumia weredi ndiko huko.. kudeal na Mbowe unahitaji weredi ya hali ya juu otherwise lazima uumbuke.
 
Kazi gani alipewa- au ndiyo ile ya kuhakiksha Mbowe harudi bungeni?
 
Ile ya kupigilia watu misumari na eti kujaribu kumdhoofisha Mh. Mbowe kiuchumi bila kujua historia ya Mbowe ni gani, hawa vijana wa CCM kwa kukurupukia mambo wasiyoyaweza!!
 
Mission ya Ole Sabaya ilikuwa kuhakikisha Mbowe hawi Mbunge wa Hai. Na leo hii, Mbowe SIO Mbunge wa Hai halafu wewe eti Mbowe huwa hashindwi? Zinakutosha kweli? Na kwa taarifa yako, Ole Sabaya ameondolewa kwasababu "Mission Accomplished"!
ingekuwa ni mbowe pekee wa chadema kukosa ubunge, hapo point tatu za ushindi ningempa sabaya.

kinyume chake wagombea wote wa chadema walikosa ubunge.

unampaje ushindi mtu kama huyo.
 
Bado jengo lake wamemvunjia pale nhc bilicanas, hawayajui maagano ya baba wa taifa na mzee aikaeli mbowe.

Laana itaendelea kuwakumba sababu ya haya mambo ya kupersonalise siasa.
 
Mission ya Ole Sabaya ilikuwa kuhakikisha Mbowe hawi Mbunge wa Hai. Na leo hii, Mbowe SIO Mbunge wa Hai halafu wewe eti Mbowe huwa hashindwi? Zinakutosha kweli? Na kwa taarifa yako, Ole Sabaya ameondolewa kwasababu "Mission Accomplished"!
Mission accomplished in a shame way
 
Mission ya Ole Sabaya ilikuwa kuhakikisha Mbowe hawi Mbunge wa Hai. Na leo hii, Mbowe SIO Mbunge wa Hai halafu wewe eti Mbowe huwa hashindwi? Zinakutosha kweli? Na kwa taarifa yako, Ole Sabaya ameondolewa kwasababu "Mission Accomplished"!
Huijui hii nchi na historia yake wale wote waliopambana na Mbowe wamepigwa chini nenda kamwangalie Byakanwa, Sabaya chali, Selasini, Lijuakali,Makonda, Mkurungezi Takukuru, Komu n.k
 
Mission ya Ole Sabaya ilikuwa kuhakikisha Mbowe hawi Mbunge wa Hai. Na leo hii, Mbowe SIO Mbunge wa Hai halafu wewe eti Mbowe huwa hashindwi? Zinakutosha kweli? Na kwa taarifa yako, Ole Sabaya ameondolewa kwasababu "Mission Accomplished"!
Eti mission accomplished, what type of cigar do you smoke?
 
Mbowe kuwa nje ya bunge ni hatari kuliko kuwa bungeni.

Sabaya alipewa maagizo na kichaa asiyejua consequences na kichaa huyo hayupo.

Apambane na upuuzi aliokubali.
Ebu toa sababu angalau moja ya kuonesha ni hatari akiwa nje ya Bunge.
 
Back
Top Bottom