Sabaya ana mkono wake na diwani othmaniMbowe siyo mbunge, siyo kwa sababu ya Sabaya, bali ni kwa sababu ya yule shetani dikteta mjinga aliyeamuru wapinzani wote wasitangazwe washindi.
Shetani dikteta mjinga alifanya uovu mpaka baadaye akashtuka kuwa amefanya ujinga wa kupitiliza. Akaelekeza mahakama iwapitishe wachache, kutoka kwenye kundi la watakaokwenda mahakamani. Wapinzani hawakufanya kama alivyofikiria. Akazidi kujiona mjinga zaidi. Akabakia kuokoteza Covid 19. Akaondoka kwa covid 19 akiwa na kihoro kikubwa moyoni.
Ni hadi uwe na akili,but kama akili yako umemkabidhi mganga ni ngumu kuiona kesho yako.Hakuona na Wala hakujua Kama kesho yake ni muhimu Jana yake
Na Sabaya sio DC wa Hai tenaMbowe siyo mbunge wa Hai tena kwa hiyo mshindi ni Sabaya.
Yuko polis tayari, je uko na habar? Matanga mtapata tabu sanaDah! Sijui hata nikujibuje. Hivi unazijua siasa za Tanzania wewe? Siku Ole Sabaya akipelekwa mahakamani uje unishushue.
Polisi anaenda kwa siri? Unaweza kunitajia Polisi kituo gani?Yuko polis tayari, je uko na habar? Matanga mtapata tabu sana
Katika kumkosoa Sabaya pamoja na maovu yake mnaonyesha pia rangi zenu! Kwahiyo Hai hakuna mwingine zaidi ya Mbowe? Kwani Mbowe ameifanyia nini Hai kipindi chote cha ubunge wake na influence yake? Chapaneni kisiasa lakini ficheni "aibu" iliyojaza nafsi zenu.SABAYA NAKUHURUMIA HUKUMJUA MBOWE NI NANI?
Wakati unahangaika na mambo ya Ardhi, Mambo ya Qnet, Mambo ya Watumishi wa Umma, kutatua changamoto za wananchi wa Hai Tulidhani Dhamira yako ni ya kweli kumbe Target yako ni kutafuta wafuasi watakaokuunga mkono ili kumdhalilisha Mbowe.
Kitu ambacho hukujua wakati Unatumwa na Serikali yako ya CCM na kupewa nguvu ya Dola ni kuwa mtu unayeenda kupambana nae ni Mbabe wa kivita na Mwamba wa kisiasa.
Historia inaonesha Mbowe hakuhi kushindwa ubunge kwa miaka yote na wewe ukajifanya jasiri wa kubadili historia.
Kosa lako ni kupokea maelekezo bila kuangalia matokeo yake, Sasa uko benchi na sasa tuambie nani nani mshindi kati yako na Mbowe. Miongoni waliokupa kazi hiyo Ovu ya kumdhibiti Mwamba wanakuzomea na hakuna wa kusimama na wewe tena. Wacha Mwamba Akunyooshe sababu ameshakuvunja Mabawa na huwezi kuruka tena.
Kwakua wewe ndiye Uliyechukua Ubunge wa Mbowe Pale Hai kwa dharau na kiburi, na sasa haupo pale hai, Hii ni hatua ya kwanza ya kukuonesha Jimbo linaelekea wapi, Ufalme wa Mbowe utarudi, Utajua ni Nani, Ana nguvu gani na Utatulia. Pole sana Mbunge Bandia wa Hai bwana Saashisha, Sabaya Hukujua Mbowe ni Mtoto wa Mangi utawala wa Mangi hauwezi kuangushwa na Mgeni tena mtoto mdogo kama wewe kutoka umasaini. Pole sana. The xoming back is real.
Dkt Remen Lema