Ole Sabaya: Rais Samia Suluhu ameleta tumaini jipya katika wakati bado taifa likiwa kwenye maombolezo ya Hayati Magufuli

Ole Sabaya: Rais Samia Suluhu ameleta tumaini jipya katika wakati bado taifa likiwa kwenye maombolezo ya Hayati Magufuli

Ule uhuni wake anaofanya Hai ajue wazi kuwa hana back-up tena. Rais wa sasa ni wa kutenda haki.
 
Huyu muuni baada ya aliyekuwa akimkingia kifua kufa anatafuta huruma za Samia Suluhu.

Huyu alikuwa mtekaji, anatumia vijana wa uvccm kutia vurugu kwenye kila mkutano wa chadema lakini hakuwahi kukatazwa.

Magufuli kwakweli kavunwa na Mungu maana kaiharibu nchi na sisi wanyonge tulikuwa hatuna la kumfanya
 
Ole Sabaya siku zako zinahesabika!! Huwezi kuwahadaa watanzania na huyo mama sio mjinga! Shika adabu zako sisi sio wajinga wa kutuletea hadaa zako za kijinga! Unatakiwa ufukuzwe! Idiot!
 
Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amesema kuwa Rais wa sasa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameleta tumaini jipya katika nchi yetu wakati bado Taifa likiwa kwenye maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Magufuli....
Ole sabaya ni anaanza mapambio, namuomba Mh. Raisi S.S.Hassan azibe masikio yake, asiruhusu kabisa mapambio masikioni mwake.
Watu Kama kina sabaya ni 'mashetani'
 
Jambazi namba moja oOe Sabaya. Ingekuwa tunafuata kwa umakini utawala wa sheria, huyu katika list ya watu wa mwanzo mwanzo kutimuliwa na kupelekwa mahakamani ilikuwa huyu ole sabaya. Inatakiwa asiruhusiwe hata kugombea nyumba kumi
Nina imani sana na mama yetu hawezi kumbakiza kwenye payroll ya serikali
 
Ole Sabaya ni hazina ya uongozi wa nchi hii. Huyu ndio kiboko ya manyani na waganga njaa hana chembe ya mzahanao.
Ni jambazi mtarajiwa mara tu baada ya kukosa kazi
 
Back
Top Bottom