Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Ole Sabaya ni hazina ya uongozi wa nchi hii. Huyu ndio kiboko ya manyani na waganga njaa hana chembe ya mzahanao.
Sabaya na RPC Kili wako busy wanapiga picha za kumlilia Marehemu Jiwe, tumaini lao. Wakiishamaliza maombolezo watakujulisha.Malofa mnaangaika sana na ya CCM ili tusihoji aliko Mbowe.
Akili yako unadhani mtu akimkosoa Sabaya ni wa vyana vya upinzani.Hakuna sehemu Sabaya ameikosea serikali. Wapinzani acheni kujiona kama vile mmechukua dola. Hii bado ni serikali ya CCM.
Kujipendekeza sasa basi!!Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amesema kuwa Rais wa sasa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameleta tumaini jipya katika nchi yetu wakati bado Taifa likiwa kwenye maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Magufuli....
Pole sana, hiyo ni nadhiri na shetani. Wasalimie huko Gamboshi.Nitafunga siku 3 ili jicho la mama liangazie kwa kiongozi shupavu kama Ole Sabaya. Hizi ni chembe chembe za damu ya marehemu Edward Moringe Sokoine
Unavyoweweseka!We chawa
Vp boss wako ameondoka lazima ufe njaa
Sisisem asilia tunarudi ulingoni Sasa Rudi ulipotoka
Kunguni mkubwa wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mnajipendekeza marufuku mikutano na maandamano!Nakuona unavyo tetemeka
Hatucheki na kima mwendo ni ule ule!Au mko studio mnatunga song la kumshawishi mama muendeleze uchawa wenu?
Nakuona ulivyojawa na uogaUnavyoweweseka!
Safari hii lazima ushikwe na kwikwi dadeeeki.Mnajipendekeza marufuku mikutano na maandamano!
Nikweli maana mama yetu Samia haitaji kucheka na nyinyi makimaHatucheki na kima mwendo ni ule ule!
Safari hii mtarudi vijijini huko ,kazi ya upambe haipo tenaHatucheki na kima mwendo ni ule ule!
Kijiji gani?Safari hii mtarudi vijijini huko ,kazi ya upambe haipo tena
Kazi kweli upambe unauweza!Nikweli maana mama yetu Samia haitaji kucheka na nyinyi makima
Dogo kaanza kujipendekezaMkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amesema kuwa Rais wa sasa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameleta tumaini jipya katika nchi yetu wakati bado Taifa likiwa kwenye maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Magufuli
"Katikati ya majonzi umeleta tumaini jipya,wakati wa saa ngumu umeinua tena mioyo ya watu kwa faraja ya vitendo, lile swali la 'Itakuwaje sasa' umelijibia Chamwino kwa kishindo, sauti thabiti imedhibitisha kwamba "Hautaruhusu nchi ichezewe na Watanzania wadharaulike".
"Mtakapoiona ishara ya kwanza nanyi mtajua wokovu wenu upo Karibu, Kazi ya kwanza leo imethibitisha udhabiti na namna Rais Samia alivyofuzu kwa viwango vya juu toka kwa mtu uliyemuita Mwalimu na Kaka yako Mwenda zake JPM"
"Namtakia kila la kheri Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan. Sasa ni shwari kuu katikati ya dhoruba. Italazimu kumtambua Simba mpole lakini asiyetaka mzaha" Alisema Sabaya.
Chanzo: #CloudsDigitalUpdates
Kazi yetu Kuu ni Kukushauri tu Madame President ila huyu Mtu ni Mafia ( Intarahamwe ), Mtu wa Fursa ( Opportunist ) na ni Mnafiki ( Hypocrite ) sana hivyo Usimuamini kwani hapo anakujaza tu Upepo ili umuone yupo nawe. Kuwa makini mno.
Hawa vijana wanaishi kijanja janja wanaishi kwa kujitia utahira wa kujikombakomba ili siku zao ziende, wako radhi waue watukane wadhalilishe ili wapate mkate kwa watawala, makonda alisujudu kwa samueli sita baadae kageuka akawa kwa jk, akageuka akawa kwa jpm na kuponda ya kikwete leo baba katutoka ghafla wanapenyeza vikauli vya kujikomba na mapambio kwa mama, style yao ya maisha imekera na kuudhi umma sana....wakafitinisha umma, viongozi na serikali yetu...hadi watu wakaona wamwachie Mungu.....kama ndio yataendelea hivi.....tuoneJambazi namba moja oOe Sabaya. Ingekuwa tunafuata kwa umakini utawala wa sheria, huyu katika list ya watu wa mwanzo mwanzo kutimuliwa na kupelekwa mahakamani ilikuwa huyu ole sabaya. Inatakiwa asiruhusiwe hata kugombea nyumba kumi
Ni MhutuHivi yule siyo mrundi?
Huyu ni mbwa. Amewatesa sana watu. Na kuua, tumuachie Mh Rais maana atapewa ripoti zao wote kabla ya kufanya teuzi.Kati ya watu wajinga ni huyu Ole sabaya anatakiwa akamatwe.