Anaanza kujipendekezaMkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amesema kuwa Rais wa sasa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameleta tumaini jipya katika nchi yetu wakati bado Taifa likiwa kwenye maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Magufuli....