Ole Sabaya: Rais Samia Suluhu ameleta tumaini jipya katika wakati bado taifa likiwa kwenye maombolezo ya Hayati Magufuli

Mimi ninapendekeza apewe mkoa mzima wa Kilimanjaro.

Huyu ndio alikuwa kikwazo kwa utendaji wa Mkuu wa Kilimajaro kwani yeye alijiona ni mkubwa kuliko RC na hata Waziri Mkuu; kwani alikuwa anawasiliana moja kwa moja na Jiwe. Tabia ya kuwa na mawasiliano ya moja kwa moja na Rais ndio ilimjengea kiburi na kuvunja sheria katika utendaji wake!! Wananchi wengi hawamsemi vizuri Sabaya kwa ukosaji wa busara.
 

Huyo ni mmoja wa kuondolewa u DC amechafua sana awamu ya 5 ,amedhulumu sana wafanyabiashara huyo "andakava igo sirii".
 
Sabaya must go! Na hata hiyo kazi ya uaundercover atolewe kwani ataitumia kuendelea kuwaumiza wananchi! Mamlaka ikipendezwa ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi ya umma na madaraka! Pccb chunguzeni mtu huyu mchukue point tatu muhimu, au hamtaki kupanda daraja?
 
Chloroquine ya Mbowe.
 
Mbona naona kama nanihii wote wameamia CCM. Au ndio kutojuwa waendako. "Magufuli anafuata será za Chadema - Lema 2016"
 
Mbona naona kama nanihii wote wameamia CCM. Au ndio kutojuwa waendako. "Magufuli anafuata será za Chadema - Lema 2016"
Tushawajua nyinyi kuwa ndiyo wale wasiyo julikana.

..https://www.instagram.com/p/CNARFRDHeO5xbGPt6d4HaSSE3X2NdfFDZqcNkk0/?igshid=1ci9in5gc8nqx
 
Huyo mtu ni hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…