Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
HuyuOle sabaya ni tapeli wa siku nyingi. Aliwachangisha hela wanafunzi pale St.John kwajili ya tamasha la wanafunzi akakimbia na hela zote. Tuhuma zake ni nyingi huyu bwanamdogo.
Hakika majuto ni MJUKUU....!?? Ole Sabaya akachunge ng'ombe Loliondo,,,,,!!Yule jamaa sijui alirogwa kuongea vile.Atakuwa anatamani kauli yake ifutike