Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo

Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo

Too late, akachunge ng'ombe. Zama zimebalika. Mwenyezi Mungu hulipa waja wake hapa hapa duniani.
Huyu jamaa alikuwa alijifanya kidume sana!!!....akili zake za kuchunga ng'ombe na kuwinda nyamapori alizihamishia kwenye mamlaka za u-DC akidhani Watu ni sawa na Wanyama.......Shame on Ole Sabaya!!
 
Ole sabaya ni tapeli wa siku nyingi. Aliwachangisha hela wanafunzi pale St.John kwajili ya tamasha la wanafunzi akakimbia na hela zote. Tuhuma zake ni nyingi huyu bwanamdogo.
 
Hii pangua inayokuja jokate atalamba ukuu wa mkoa.
Halafu mleta mada tambua bi mkubwa hatabiriki,anaweza kumtoa huko akampeleka Lindi huko,pia hata yule wa green city anaweza hamishwa mkoa pia ila nafasi akabaki nayo hiyo hiyo.
Yule wa kilimani pale kwa mutwa anaweza kuachwa.
Jokate hata akilamba ukuu wa Mkoa poa tu hana show kama za akina Sabaya
 
Yule wa Iringa ndio aliwaambia wastaafu ataaavunja vunja
Dah
Halafu leo bi mkubwa kamnukuu mstaafu aliyeambiwa atavunjwa vunjwa
Sijui wana hali gani hawa jamaa
Yule jamaa sijui alirogwa kuongea vile.Atakuwa anatamani kauli yake ifutike
 
Tusimsahau OCD wa Hai aliekuwa anampa mibunduki kuzunguka nayo mitaani usiku......lazima waende wote
 
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya.

Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka kuumiza wananchi.
Yametimia
 
Back
Top Bottom