Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo

Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo

We jamaa kweli mtoto wa mjini! Yaani Mheshimiwa Rais kaongea asubuhi jioni unamfanyia preempt?

Kama ni kuondoka utaondoka. So get ready Sabaya ili lipate kutimia neno lisemalo, Kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe.
Ndo ujue Rais wa Sasa anasikiliza wananchi
 
Hatimae Mama amemfuturu Ole Sabaya🤣🤣
russ.png
 
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya.

Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka kuumiza wananchi.
@Sir John Roberts utume wako umetimia, kweli masikini DC wa Hai Ole Sabaya hajasalimika
 
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya.

Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka kuumiza wananchi.
Duh ukiona mbali sana, ndio maana huenda alikimbilia Clouds
 
Back
Top Bottom