Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ananyea chupi huko aliko huyu mshenzi.Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya.
Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka kuumiza wananchi.
Uzi huu una siku kadhaa lakini naona kila kukicha ushahidi unazidi kuanikwa.Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya.
Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka kuumiza wananchi.
Hatumsingizii bwanamdogo alizidisha dharau kwa wakubwa zake na kunyanyasa wananchi.Uzi huu una siku kadhaa lakini naona kila kukicha ushahidi unazidi kuanikwa.
Kama itaundwa tume huru aua akatokea mtu wa kufungua kesi inawezekana Ole Sabaya akaishia pabaya.
Nashauri amrahisishie kazi Madam President kwa ku step down mwenyewe kwa hiari yake!!
Hili la Kondoo tena Mweupe kuliambatanisha na Masheikh ni Ushirikina.Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya.
Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka kuumiza wananchi.
Mkuu VP Wa wakati huo alikuwa ni yule Rais Wa Leo?Kitakachomwondoa Ole sabaya ni ile dharau aliyokuwa anamfanyia mkuu wa mkoa mama Anna Mghwira.
Alionywa na VP wa wakati ule lakini hakusikia wala kuonyeka.
Hivi nae kumbe anavaa Pete ya ndoa,majitu kama haya utakuta huku nje yananyanyasa wengine lakini huko myumbani yanapigwa.
why mashehe?Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya.
Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka kuumiza wananchi.
Maaskofu wanachinjaga wanyama kwaajili ya dua?why mashehe?
Umepotoka kondoo,ngamia ni wanyama ambao waislam wanaamini mitume iliwatumia kuwachinja kwajili ya kafara yakuomba toba. Hata hivyo ni maoni yangu tuu sijalazimisha hata Mapadri na wachungaji wanaweza kumuombea kijana aliyekengeuka.Hili la Kondoo tena Mweupe kuliambatanisha na Masheikh ni Ushirikina.
Na sina hakika sana ila kuna kila dalili kuwa huyo bwana hajabahtika kuwa Muislam hivyo muelekeze awaite viongozi wake wa Kiimani wafanye hayo mauu unayoyashauri ila Masheikh, sawa?
Kupeana moyo sio vibayaMawazo ya Mwanadamu si sawa na mawazo ya Mungu. Keep going Sabaya but hujachelewa kujirekebisha ulipojikwaa kua bora.
[emoji1787][emoji1787]Kupeana moyo sio vibaya