Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo

Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo

Huyo Mshenzi alipandisha Mabega sana ,hafai kuwa kiongozi ,uongozi ni busara na wala si ubabe,jamaa alikuwa anatumia ubabe kuwapora mali wafanyabiashara ,pia ile skendo yake ya kumtaka msanii nandy aliyekuwa kwenye hotel flani huko kilimanjaro kwa kutumia ubabe.
Tuwekee ile clip tujikumbushe mkii
 
Wakati TRA wakionywa kutumia task force kukusanya kodi Sabaya aliunda genge lake kupora wafanyabiashara kwa nguvu. Hasa wanaodili na watalii kama hatel za kitalii na wafanyabiashara wakubwa
 
Wa hivi wakitenguliwa huwa hawachukui hata mwaka, kwasababu ya kukesha kwa waganga wanafilisika na utaskia ana "BP, KISUKARI, KISONONO, TEZI DUME, MSONGO WA MAWAZO".

Maara paap utasikia "Jamaa amekufa bado mdogo sana, umri ulikua unadai bado, dakika zake za mwisho alikua kichaa bana alikua anavua nguo na kuongea hovyo tu.".
Kisonono[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JF never boring.....live long JF! Nimecheka sana, dah!
 
Mama atachofanya atamtumpa mbali huko Kyaka akakimbizane na wakulima wa migomba.
 
Huyu mama akitaka kujiepusha na ujinga ujinga kwenye Serikali yake aachane na watu wa aina ya Sabaya.
 
Sabaya Dharau kwa RC na kunyanyasa wafanyibiashara wakubwa ktk Wilaya yake kutamponza,RC Chalamila Nadhani ikipatikana nafasi BASATA anafaa sana
 
Back
Top Bottom