Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo

Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya.

Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka kuumiza wananchi.
Anaondoka kwasababu zipi hasa?
 
Sebaya atakuja kuolewa Siku moja anajifanya kauzu wakati ni mrembo tuuu tunamzoom
 
Huyu anaweza kubakia... Japo asilimia ni chache sana kwenye hilo..

Maisha hayana formula
 
Huyo Mshenzi alipandisha Mabega sana ,hafai kuwa kiongozi ,uongozi ni busara na wala si ubabe,jamaa alikuwa anatumia ubabe kuwapora mali wafanyabiashara ,pia ile skendo yake ya kumtaka msanii nandy aliyekuwa kwenye hotel flani huko kilimanjaro kwa kutumia ubabe.
Duh! Kuna clip RC anaongea na kumuonya akavua tinted na kubinua mabega, ilikuwa dharau kubwa sana.
 
Nimeiona aiseee ni dharau kubwa sana aliyoonyesha kwa Mama Anna RC KLM....Sabaya hafai kuwa kiongozi akaendelee na utapeli wake wa uANDAKAVA IGO SIRII UPELEZI WA NDANI.

ANDAKAVA.jpg
 
Itabidi Baraza la Kiswahili libadilishe hii methali........kuwa
Dua la Kuku litampata Mwewe...... 🤣 😂
 
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya.

Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka kuumiza wananchi.
Hawezi baki hai hata achinje Ngamia
 
Wenzio walishajipa vyeo tayari kuwa;

å Paul Makonda a.k.a Daudi Albert Bashite - WAZIRI MKUU (PM)

å Ole Sabaya - Waziri Wa Mapolisi

å Chalamila (RC - Mbeya) - Waziri Wa Jeshi (JWTZ)

Hapo sasa. Maana take kila mtu ajiandae kula mboko kila siku mbele ya mke na watoto wake..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya.

Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka kuumiza wananchi.
Yaani siyo tu kama atabaki Hai.... Kama akiendelea kuwa Mkuu wa Wilaya yoyote ile, basi huyo mganga wake ni deal.
 
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya.

Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka kuumiza wananchi.
Living legend
 
Wenzio walishajipa vyeo tayari kuwa;

å Paul Makonda a.k.a Daudi Albert Bashite - WAZIRI MKUU (PM)

å Ole Sabaya - Waziri Wa Mapolisi

å Chalamila (RC - Mbeya) - Waziri Wa Jeshi (JWTZ)

Hapo sasa. Maana take kila mtu ajiandae kula mboko kila siku mbele ya mke na watoto wake..

Kweli kabisa. One down two to go!
IMG-20210513-WA0029.jpg
 
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya.

Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka kuumiza wananchi.
Tayari kichwa kimeliwa, huwezi kuonesha dharau kwa mkuu wako wa Mkoa
 
Back
Top Bottom