Ole Sendeka: Lema tunajua wanaokulipa, soko la Tanzanite halitarudi Arusha kamwe

Ole Sendeka: Lema tunajua wanaokulipa, soko la Tanzanite halitarudi Arusha kamwe

Lema ana elimu duni mno. Hoja zake nyingi ni za kihisia sio za kisomi. Mara nyingi kaonyesha chuki kwa Zitto sababu ikiwa ni hiyohiyo ya elimu. Lema kielimu ni sawa na Babutale, Msukuma na Kibajaji.
Bora msukuma na kibajaji. Wao wanatambua elimu yao ndogo ila wamejaa uzalendo na upendo kwa nchi yao. Sio watu wabinagsi kama lema tena wana busara kubwa na ufahamu mkubwa kutokana na nafasi za uongozi walizotunukiwa na wananchi.
Ukija kwa lema tunaambiwa alikua mwizi wa magari. Hapo alipofika ni mapambano kujipatia maisha binafsi. Elimu yenyewe ndogo sana itakua form four failure. Shida ni pale anaona kua mchaga ni CV, yaani ni sawa na kua na degree. Ndio maana analeta akili za vijiweni kwenye mambo yanahitaji akili ya darasani.
 
Umefafanua vema kabisa. Lema aliishia kidato cha pili. Pia alijiunga na CHADEMA kwenye 2008... hadi 2007 Lema alikuwa bado yuko TLP. Ni mfuasi mwaminifu wa hayati Lyatonga. Huko CHADEMA ni mhamiaji ila anapata nguvu kubwa kwa sababu ya kutoka wote Machame na Mbowe. Kuhusu wizi wa magari sina uhakika sana ila wanasiasa wengi wa Arusha wa vyama vyote wana kashfa za uhalifu... kwa mfano Diwani mstaafu Nyari aliyekuwa jambazi.
 
Hebu tujikumbushe kidogo. Wakati wa utawala wa serikali ya awamu ya kwanza almasi ilikuwa inachimbwa Mwadui Shinyanga lakini ukataji almasi uliokuwa unafanywa na Tancut ulikuwa unafanyika Iringa. Sasa sijui ipi ni ipi na ipi inafaa iwe ipi.
Kutoka shinyanga mpaka Iringa mbona mbali sana kwanin wasingefanyia mwanza??
 
CCM wengine sijui akili zao zikoje. L:ema aliposema "si Mererani pekee" walielewaje!!?
 
Shida kubwa ninayoona kwa waTanzania walio wengi ni ujinga wa kutapanya mambo hovyohovyo bila kutambua madhara yake.
Soko la madini inatakiwa kuwepo Arusha kwani ni sehemu nzuri yenye usalama na inafikika kwa urahisi kupitia njia zote.
Siyo lazima soko la Tanzanite soko lake liwe tu mererani kisa kinachimbwa huko.

Kwahiyo serikali wamejenga soko mererani kwasababu Tanzanite inachimbwa Mererani? Maajabu ya Dunia...nje ya njia ya KIA, Mererani unaingilia wapi kwa usafiri wenye uhakika?

Yaleyale ya kujenga uwanja wa ndege Chato alafu unaacha kupanua uwanja wa Ndege wa Mwanza na Bukoba.
Kwani Dubai ambapo kila kitu kinapatikana si miundombinu zimewekwa ili kurahisisha utendaji kazi za wateja kufika? Wengine hawaendi tu Mererani kwa ajili ya kununua madini basi bali baada ya manunuzi kuna matumizi mengine.
 
Lema kapanda mtumbwi wa vibwengo kazi anayo.
 
Lema ana elimu duni mno. Hoja zake nyingi ni za kihisia sio za kisomi. Mara nyingi kaonyesha chuki kwa Zitto sababu ikiwa ni hiyohiyo ya elimu. Lema kielimu ni sawa na Babutale, Msukuma na Kibajaji.
Wewe na elimu yako, una nini cha maana? Lema ana kuzidi kila kitu,
 
Na hili ndio tatizo kubwa ,hata wafuasi wake wengi wana hilo tatizo aisee ,wanafananishwa na mbwa na bado wanamchekea.
Weee una elimu gana na ujanja gani? Akili ya kutambua ku log in kqenye mitandao ya kijamii ndio unalingishia wanaume humu?
 
Bahati mbaya kwako ni kwamba huyo unayemuita Tapeli wa kisiasa unamzidi chuki tu.mwenzako anasimamishwa na rais pia hotuba zake zinasikika na ku trend.
wakati wewe ukute cha kwako kinacho trend ni picha zako za utupu unazojipiga na kutumia mabint
Kabisa ana mzifi Chuki
 
Back
Top Bottom