Ole Sendeka: Lema tunajua wanaokulipa, soko la Tanzanite halitarudi Arusha kamwe

Ole Sendeka: Lema tunajua wanaokulipa, soko la Tanzanite halitarudi Arusha kamwe

Bora msukuma na kibajaji. Wao wanatambua elimu yao ndogo ila wamejaa uzalendo na upendo kwa nchi yao. Sio watu wabinagsi kama...
Msukuma ana uzalendo gani? Hivi uzalendo unapimwa kwenye muzani au kwa kutumia kile kisado?
 
Ni siasa za kijinga huwezi kuzuia Arusha kuuza madini halafu hapo Kenya zinauzwa kila mahali, nje ya nchi zinauzwa kila mahali. Hayo ni mashindano ambayo si ya kimaendeleo. Cha maana ni kuweka kibali kwa kila jiwe hata likiuzwa Dar hakuna shida ilimradi liwe na kibali
Waambie hawa wajinga
 
Umefafanua vema kabisa. Lema aliishia kidato cha pili. Pia alijiunga na CHADEMA kwenye 2008... hadi 2007 Lema alikuwa bado yuko TLP. Ni mfuasi mwaminifu wa hayati Lyatonga. Huko CHADEMA ni mhamiaji ila anapata nguvu kubwa kwa sababu ya kutoka wote Machame na Mbowe. Kuhusu wizi wa magari sina uhakika sana ila wanasiasa wengi wa Arusha wa vyama vyote wana kashfa za uhalifu... kwa mfano Diwani mstaafu Nyari aliyekuwa jambazi.
Ana kuzidi kila kitu mkuu, wewe zaidi ya ndugu zako nani mwingine anakujua? We ni takataka tu
 
Humu wamejaaa wapumbavu tupu mkuu, watu wana akili za kuvukui Barabara na za kujua kutumia mitandao ya kijamii
Lema kasema Mererani isiwe sehemu pekee ya kuwa na soko la Tanzanite. Sasa huo uzushi wa kuhamisha soko toka Mererani unaletwa na kina Sendeka wapiga kelele ambao wao kila kitu kiko sawa il mradi tu kinafanywa na CCM!!
 
Soona utalii ambao Arusha
Lema anatumika na Kenya kuvuruga amani ya Tanzania ili tukose watalii wahamie Kenya kwa wingi
Wewe ndio bure
1678383845319.png
 
Lema kasema Mererani isiwe sehemu pekee ya kuwa na soko la Tanzanite. Sasa huo uzushi wa kuhamisha soko toka Mererani unaletwa na kina Sendeka wapiga kelele ambao wao kila kitu kiko sawa il mradi tu kinafanywa na CCM!!
Na kesho Mwenyekiti wao akimuunga mkono Lema utawasikia wakimpongeza bila tone la aibu.

Amandla...
 
Mikutano ya Siasa imeruhusiwa sasa tutasikia mengi sana, yenye tija na yasiyo na tija, Wananchi ndio tutapembembua.
 
Olegunar olemedeki sendeka huwa anapenda sana kujipa umuhimu, kwani kauli ya Lema ni ya serikali?
Ukiona akina lema wanaongea ujue wametumwa na bi kiroboto maaana yule sio mwenzenu anawachora tu nyie ila yule ni Mussa ndani ya Misri
 
Back
Top Bottom