Ole Sendeka: Lema tunajua wanaokulipa, soko la Tanzanite halitarudi Arusha kamwe

Bora msukuma na kibajaji. Wao wanatambua elimu yao ndogo ila wamejaa uzalendo na upendo kwa nchi yao. Sio watu wabinagsi kama...
Msukuma ana uzalendo gani? Hivi uzalendo unapimwa kwenye muzani au kwa kutumia kile kisado?
 
Waambie hawa wajinga
 
Ana kuzidi kila kitu mkuu, wewe zaidi ya ndugu zako nani mwingine anakujua? We ni takataka tu
 
Humu wamejaaa wapumbavu tupu mkuu, watu wana akili za kuvukui Barabara na za kujua kutumia mitandao ya kijamii
Lema kasema Mererani isiwe sehemu pekee ya kuwa na soko la Tanzanite. Sasa huo uzushi wa kuhamisha soko toka Mererani unaletwa na kina Sendeka wapiga kelele ambao wao kila kitu kiko sawa il mradi tu kinafanywa na CCM!!
 
Lema kasema Mererani isiwe sehemu pekee ya kuwa na soko la Tanzanite. Sasa huo uzushi wa kuhamisha soko toka Mererani unaletwa na kina Sendeka wapiga kelele ambao wao kila kitu kiko sawa il mradi tu kinafanywa na CCM!!
Na kesho Mwenyekiti wao akimuunga mkono Lema utawasikia wakimpongeza bila tone la aibu.

Amandla...
 
Mikutano ya Siasa imeruhusiwa sasa tutasikia mengi sana, yenye tija na yasiyo na tija, Wananchi ndio tutapembembua.
 
Olegunar olemedeki sendeka huwa anapenda sana kujipa umuhimu, kwani kauli ya Lema ni ya serikali?
Ukiona akina lema wanaongea ujue wametumwa na bi kiroboto maaana yule sio mwenzenu anawachora tu nyie ila yule ni Mussa ndani ya Misri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…